Wednesday, February 3, 2016



Baada ya mjadala wa jana bungeni juu ya matumizi ya "Bangi na mirungi" ulioibuliwa na Mbunge wa Geita Vijiini Joseph Kasheku Musukuma, nilimtafuta daktari Chriss Cyrilo (MD) aeleze kama bangi ina faida kama alivyosema Msukuma au ina hasara. Na haya ndio maelezo ya daktari.
____________________________________
FAIDA 11 ZA KIAFYA ZA MATUMIZI YA BANGI (MARIJUANA).
Na Dr.Christopher Cyrilo (MD)
UTANGULIZI;
Katika baadhi ya nchi Duniani, matumizi ya bangi yamehalalishwa kuzingatia utashi wa mamlaka za nchi husika. Uruguy na Marekani (katika majimbo 20) ni mifano ya nchi hizo. Tafiti mbalimbali za kiafya zimefanyika na kupelekea ugunduzi kuwa bangi huweza kutumika kama tiba kwa baadhi ya magonjwa, isipokuwa haipaswi kutumika ovyo kama ilivyo kwa dawa zingine.
Zifuatazo ni faida 11 za kiafya za bangi. Kisha tutaeleza na athari hasi za bangi hapo baadae.
1. Inaweza kutumika kukinga na kutibu presha ya jicho (glaucoma), bangi inapunguza presha ya jicho (intraocular pressure) kwa watu wenye presha ya kawaida na hata wale ambao presha ya jicho iko juu( glaucoma).
2. Inaweza kuboresha afya ya mapafu na kupunguza athari za tumbaku katika mapafu. Januari 2012, tafiti zilionesha bangi haiathiri kazi za mapafu badala yake huongeza ufanisi wa mapafu.
3. Huweza kuzuia kifafa. Kemikali aina ya "Tetrahydrocannabinol" au "THC" iliyopo katika bangi huambatana na seli za ubongo zinazochochea umeme katika mfumo wa fahamu. Muambatano huo hupunguza msisimko (excitability) wa mfumo wa fahamu na kuzuia kutokea kwa kifafa.
4. Kuzuia kuenea kwa baadhi ya kansa, "Cannabidiol au CBD" ni kemikali iliyopo kwenye bangi ambayo hupunguza kuenea kwa kansa mwilini. Mfano, kansa ya matiti.
5. Inapunguza wasiwasi, maumivu na kichefuchefu, hata hivyo ikitumiwa kwa kiasi kikubwa huweza kuongeza wasiwasi.
6. Hupunguza na kutibu matatizo ya kutetemeka kwa misuli, (Parkinsonism)
7. Bangi huweza kutibu magonjwa ya utumbo (Inflammatory bowel diseases). Mwaka 2010 katika chuo cha Nottingham, tafiti ziligundua kuwa kemikali zilizopo kwenye bangi husaidiana na seli za mwilini kuongeza kinga za mwili na ufanisi wa utumbo.
8. Kupunguza maumivu ya viungo. Bangi hupunguza maumivu, hupunguza miwasho na kuleta usingizi.
9. Huboresha ngozi na kuchangamsha kazi za mwilini, Pia huongeza matumizi ya sukari mwilini.
10. Huongeza uwezo wa kubuni vitu (creativity), uwezo wa kukumbuka na uwezo wa kuzungumza.
11. Huweza kusaidia watu wanaopata matatizo ya mfadhaiko kutokana na kumbukumbu za mambo ya kutisha (post traumatic stress disorder) Mfano, Kwa wahanga wa majanga ya asili na yale yasio ya asili kama vita, moto, tsunami nk. Watu hao hupata kuona upya matukio ya kutisha walioshuhudia zamani na huweza pia kuyaona katika ndoto. Bangi huweza kuwasaidia kuepuka tatizo hilo. Maveterani wa vita ni mfano mzuri kabisa.
ANGALIZO. Matumizi ya kiafya ya bangi yanapaswa kuwa chini ya maelekezo ya daktari au mtaalamu wa afya, kwa sababu athari zake hutegemea kiasi cha matumizi na hali ya afya ya mtumiaji. Inaaminika kuwa Bangi ina athari chache kulinganisha na pombe.
Dr.Chriss Cyrilo (MD).
Asante.
http://safinamiutamu.blogspot.com/

NDANI YA KANISA:

NDANI YA KANISA:
MCHUNGAJI: Ningekuwa na uwezo ningechukua
Guiness zote na kuzimwaga mtoni!"
Waamini wakajibu Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Safari zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Konyagi zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Banana zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Whisky zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen! Baada ya MCHUNGAJI kumaliza
mahubiri, mara Mwalimu wa Kwaya akasimama na
kuwaambia Waamini, "Fungueni vitabu vyenu
tuimbe wimbo namba 152 usemao NASI
TUTAKUNYWA MAJI YA MTO HUO!" Waamini
wakaropoka: HALELUYAAA!
NDANI YA KANISA:
MCHUNGAJI: Ningekuwa na uwezo ningechukua
Guiness zote na kuzimwaga mtoni!"
Waamini wakajibu Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Safari zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Konyagi zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Banana zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Whisky zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen! Baada ya MCHUNGAJI kumaliza
mahubiri, mara Mwalimu wa Kwaya akasimama na
kuwaambia Waamini, "Fungueni vitabu vyenu
tuimbe wimbo namba 152 usemao NASI
TUTAKUNYWA MAJI YA MTO HUO!" Waamini
wakaropoka: HALELUYAAA!

SIMULIZI: MY DIARY SEHEMU YA 2

Nilikuwa hata sijajitambulisha kwani nilitaka mjue asili ya majina yangu maana kiukweli nilikuwa na majina mengi kabla na baada ya kuwa superstar. Ila nitatumia jina langu la asili nililopewa na wazazi wangu. Nilipozaliwa tu wazazi wangu waliniita Leah. Ni mtoto wa kimbulu niliyechanganya damu na mama wa kiharabu.Nina historia ndefu sana ambayo kiukweli inahuzunisha sana. Lakini kwa kuwa dunia mapito nitaeleza kwa kifupi hasa upande wa mahusianao na mapenzi. Mimi ni mtoto wa pekee wa kike katika familia ya mzee Bura mzee ambaye alikuwa ni maarufu na tajiri mkubwa pale jijini Arusha.
Ingawa nina mapungufu yangu ya kimaisha lakini kiukweli nimejaliwa uzuri ambao kwa namna moja au nyingine ndo chanzo cha kuharibikiwa na kisha kufanikiwa katika maisha yangu.Ni mweupe kiasi, mwenye umbo la kibantu na nyuma nimefungashia kama mlima kitonga. Nina sura ya mduara kama watoto wa kiharabu ambapo kwa haraka haraka ukikutana na mimi huwezi amini kuwa ni mtanzania tena wa Arusha.
Mungu kanijalia umbo,sura, mwendo, macho na kila kiungo unachojua wewe kinaweza mvutia mwanaume.Ni mnene lakini si ule wa kuboa ni ule wa mpangilio na kwa kweli sina matiti makubwa. Nina macho ya mlegezo ambapo kiukweli nikikuangalia mara mbili ni lazima tu utanitamani. Kasoro yangu kubwa au kilema mungu alichonipa ni kile kilema pendwa yaani kuwa na vijishimo mashavuni mwangu ambapo kila nikicheka vinaonekana.
Leah jina langu la utotoni kwa sasa lishapotea kutokana na matukio yangu. Club za Arusha na sehemu zingine za starehe jijini pale wananijua kama BAMBUCHA. Na jina hili nilipewa siku niliyoshinda taji la miss nyonga. Moshi nilipewa jina la Heinken wowow au Heinken Mutungi baada ya kushinda shindano la bonge kipotabo .Mpaka sasa sijui idadi ya wanaume ambao nishawahi kulala nao ila hawapungui elfu 1. Ndio usishangae kwani kwenye dftari langu la kumbukumbu mwaka jana idadi ya wanaume nilotembea nao walikuwa 892. Sasa ndani ya huu mwaka watakuwa wamezidi elfu lazima. Sipendi na inaniuma sana ila nataka watu wajifunze kutokana na historia hii
Naamini mtanifuatili hadi mwisho ili iwe fundisho kwa wasichana wazuri kama mimi na kwa wanaume wote wanaodanganyika kiurahisi na wasichana warembo. Sitoeleza kila kitu kuhusu maisha yangu lakini nitaeleza vile ninavyovikumbuka na pia ni funzo na fundisho kwa wengine.Nimezaliwa miaka 27 iliyopita huko mkoani Arusha, familia yetu ni moja au miongoni mwa familia tajiri. Kwetu tupo tu wawili mmoja wa kiume na mwingine ndo mimi. Kwa hiyo tupo mimi na kaka yangu tu ambaye na yeye masikini ya mungu maisha yake yaliingia doa hata sijui ni kwa nini familia yetu imekuwa na majanga hivi.
Kwa ufupi japo sitaki kueleza historia yake ila kwa sasa ni shoga na teja. Baba yetu alitupenda sana na alihakikisha tunapata elimu nzuri na bora. Mimi na kaka yangu wote tulisoma International school ya hapo Moshi. Baadaye kaka yangu alianza kuvuta bangi kitu ambacho kilimtia hofu baba yangu na kuamua kumpeleka kusoma nje ya nchi. Alikosea sana kwani alimpeleka south Afrika katika chuo kimoja maarufu cha mambo ya utalii. Huko aliendelaa na tabia yake ya miadarati na mbaya zaidi alianza kuumia madwa ya kulevya hivyo akawa teja kabisa. Akaenda mbali kabisa na kuwa shoga kabisa, sitaki kukueleza zaidi ya hapo kwani lengo la simulizi hii ni kukupa historia ya maisha yangu. Kama nilivyosema mwanzo familia yetu ni tajiri sana kwani baba yangu alikuwa ni mfanyabiashara maarufu wa madini tena yale ya Tanzanite.
Historia ya baba yangu nayo ni ngumu san kwani inasemekana chanzo cha yeye kupata utajiri ni ajali ya wazungu iliyotokea huko Mererani hivyo yeye na wenzake waliiba madini mengi sana. Lakini kabla ya hapo alikuwa ni chokoraa asiye na mbele wala nyuma. Kama nilivyosema sitaki kukupa historia ya watu wengine lakini inanibidi ili uweze kujua aina ya familia ninayotoea. Baba yangu alituambia kuwa yeye alikuwa ni mtoto yatima ambaye baba na mama yake walikufa kwenye ajali mbaya iliyotokea huko Kateshi/mbulu.
Hicho ndicho kikawa chanzo cha yeye kuwa chokoraa. Baadaye alikuja Arusha kutafuta maisha ambapo walipelekwa Mererani kam manyoka. Huko aliteseka sana mpaka alipokuwa kijana anayejitambua. Baadaye ndo akapata bahati ya mtende ya kuiba madini. Tangia hapo akaanza biashara ya kuuza madini na mungu alimjalia sana na baadaye alikuwa anaenda Dubai kuchukua magari.Huko ndipo alipopata bahati ya kukutana na mtoto wa kiharabu ambaye naye alimpata katika hoteli ambayo alikuwa akifikia. Inasemekana msichana huyo alikuwa nimzuri sana kitu ambacho kilimfanya baba yangu atumie gharama kubwa kumpata.
Kwa kuwa binti huyo alikuwa akifanya kazi kwenye hotel hiyo aliyokuwa akifikia hivyo ilikuwa ni rahisi kumwingiza laini. Basi hicho ndo chanzo cha mimi kuzaliwa. Baba yetu alituambia kuwa baada ya mahusiano yao ya mda mrefu na mtoto huyo wa kiarabu huku wakizunguka nchi nyingi na kula raha, baadaye binti huyo aliacha kazi na kuja Tanzania.Baba anasema walipata wakati mgumu sana kwani familia ya binti huyo mrembo alikataa katu katu mwanao kuolewa Afrika na mtu mweusi tena mkristo.
Hivyo basi kutokana na upendo wao wa dhati binti huyo alikubali kutengwa na familia yao na kuja Tanzania na kuja kuishi na baba yangu. Nazani sasa umeanza kupata picha halisi ya uzuri wangu. Huu unene sijui niliupata wapi lakini nahisi ni kwa upande wa baba yangu ambao na wao nasikia walikuwa ni wazuri sana.Hapondipo historia ya maisha yangu inapoanzia.
Nimekulia kwenye familia ya kitajiri hali ambayo ilinifanye nisizijue shida mpaka nilipofkisha umri wa kubalehe. Nakumbuka niliwahi sana kubalehe au kuvunja ungo na kipindi hicho nilikuwa standard six(darasa la sita) huko international school mjini Moshi.Basi waswahili husema hujafa hujaumbika na kaka yangu kama nilivyowaeleza alipelekwa nje ya nchi ambapo baada ya miaka mitatu alirudi nchini akiwa katika hali hiyo ya uteja na ushoga.
Kaka yangu huyu alikuwa ni wa mama mwingine ambaye baba alizaa nae kabla ya kukutana na mama yangu.Najua unasubiri kwa hamau na jamu kujua nini kilitokea katika maisha yangu mpaka mimi kuharibikiwa na kuwa malaya, kahaba maarufu ndani na nje ya nchi.Sio mbaya nikaanzia hapa, ilikuwa ni siku ya jumapili asubuhi mimi mimi nikiwa likizo nimelala kwenye chumba changu, kipindi hicho najielewa kabisa kwani tayari nilikuwa nilikuwa na umri wa miaka 13 na tayari nilishaanza kusoma sekondari.
Siku hiyo ulitokea ugomvi mkubwa sana baina ya mama yangu na baba yangu.Chanzo kikiwa ni mama ambaye alikuwa akimshinikiza baba waame Tanzania na kwenda kuishi Dubai kwenye moja ya jengo lao la kifahari ambalo walikuwa wamelinunua. Baba alikuwa akikataa kwa madai kuwa asingeweza kuhama Arusha kwani biashara zake zingeyumba sana. Ugomvi ulikuwa ni mkubwa sana kitu ambacho kilimpelekea mama yangu kuondoka Tanzania na kurudi kwao Dubai.Kiukweli mpaka leo sina uhakika kuwa hiyo ndo ilikuwa sababu ya msingi ya wao kuachana au kulikuwa na kitu kingine nyuma ya pazia.
Tangia siku hiyo sikuwahi kumwona tena mama yangu mpaka leo hii ninapoamua kusimulia historia ya maisha yangu.Tuliendelea kuishi na baba yetu na cha ajabu baba hakutaka kuoa mwanamke mwingine yeyote.Tuliishi vizuri sana na baba yetu ingawa kaka yangu tayari maisha yake yaliharibika na kuugua ukichaa kabisa.Sikushangaa sana kwani tunajua madhara ya madawa ya kulevya.
Lakini kuna kitu kimoja ambacho huwa nakikumbuka sana. Kitu hicho ni kilichosemwa na daktari mmoja wa KCMC ambaye ni bingwa wa saikolojia na magonjwa ya akili. Alitueleza kuwa kaka yangu alikuwa anaugua ugonjwa wa U-SOCIAL huu ni ugonjwa mbaya sana unaosababishwa na mapenzi.Inasemekana kuwa kaka yangu alipokuwa huko chuoni alitokea kumpenda dada mmoja ambaye ambaye alikuwa amemzidi mwaka mmoja wa masomo.
Inasemekana pia mapenzi yao yalipita kiasi mpaka wakawa kama ni mwili mmoja. Daktari huyo alitueleza kuwa U-SOCIAL ni ugonjwa hatari sana ambao unafanya watu wengi kuchanganyikiwa na kuwa vichaaa kabisa. Dakatri huyo alisema kuwa huo ni upendo mkubwa sana ambao mtu hawezi kuishi bila ya mwenzie na nakumbuka alitutolea mfano wa nyuki ambao wanakuwa tayari kutoa kizazi chao kwa ajili ya nyuki mmoja ambaye ni malikia.
Sijui kama nipo sahihi sana ila mtawauliza wataalam wa ecology. Basi inasemekana kaka yangu na huyo msichana walifikia hatua hiyo kwani kaka yangu alishawahi kumtolea mpaka figo kuokoa masiha yake. Binti huyo alikuwa anatokea Kampala nchini Uganda na kutokana na hali nzuri ya kiuchumi baiana ya familia zote mbili yaani ya kwao na kwetu penzi lao liliweza kushamiri sana.
Kwa kuwa binti huyo alimtangulia kaka yangu mwaka mmoja wa masomo basi alivyomaliza alirudi nchini kwao Uganda. Hapo ndipo kasheshe ilipoanzia kumbe binti yule alikuwa na mpenzi wake wa mda mrefu na ndiye alimpeleka South Afrika kwa ajili ya masomo. Hivo alipomaliza tu masomo aliolewa na kibaya zaidi siku ya harusi yake kaka yangu alipewa taarifa na mmoja wa marafiki wa karibu wa msichana huyo. Kaka yangu akafunga safari mpaka nchini Uganda kwenye mji mkuu wa nchi hiyo na alifikia Severa Hotel sehemu ambayo shughuli za harusi zilikuwa zikiendelea. Hakuamini macho yake lakini ukweli ndo ulibaki huo.
Inasemekana kaka yangu alifanya sana vurugu siku hiyo lakini hazikusaidia kitu kutokana na ulinzi mzuri ulio kuwepo kwenye ofisi hiyo. Basi kwa msaada wa marafiki zake walifanikiwa kumsaidia na kumrudisha nchini south Afrika.Lakini wiki chache baadaye alilazwa kwa kile kilichoitwa jaribio la kutakakujiua. Baadaye aliamua kuiingiza kwenye sakata la kutumia madawa ya kulevya. Kama hiyo haitoshi alianza kupoteza ufahamu wake juu ya maana ya maisha na kila siku ya mungu alikuwa akitafuta faraja yake iliyopotea bila mafanikio. Kwa ufupi hicho ndicho kilichomfanya kaka yangu kuwa shoga , teja na sasa chizi kabisa.
Imenilazimu kuelezea kwa kifupi huu ugonjwa wa U-SOCIAL ili niwape somo ndugu zangu hasa kwa wale wanaopenda kucheza na hisia za wenzao. Ndugu zangu wanaume nawashauri msiwemnapenda kupita kiasi na wasichana jamani tusikubali kuingia kwenye uhusianao na wanaume wengine ili hali wapo ambao tunawapenda kwa dhati. Hayo ni machacahe kwa upande wa kaka yangu sasa turudi upande wangu ambaye ndio tumaini la pekee lililobaki kwa upande wa baba yangu.
Sijisifii lakini kiukweli nilikuwa na uwezo mkubwa darasani kitu ambacho kilimfurahisha sana baba yangu na kuwa tayari kuniudumia kwa gharama yeyote ile. Basi niliendelea kuishi maisha mazuri yale ya kutojua shida, maisha ambayio kila mtu aliyatamani. Nilisoma mpaka nikafika form five hapo ndipo safari yangu ya maisha yalipoanza kuingia doa. Hapa nitasimulia kwa urefu zaidi kwani ndicho chanzo cha mimi kuharibikiwa. Nakumbuka kipindi hicho biashara ya baba zilianza kuyumba, migogoro ya kutokulipa kodi na serikali ilimmaliza.***ITAENDELEA

NDANI YA KANISA: MCHUNGAJI: Ningekuwa na uwezo ningechukua Guiness zote na kuzimwaga mtoni!" Waamini wakajibu Ameen! MCHUNGAJI: Ningechukua Safari zote na kuzimwaga mtoni! WAAMINI: Ameen! MCHUNGAJI: Ningechukua Konyagi zote na kuzimwaga mtoni! WAAMINI: Ameen! MCHUNGAJI: Ningechukua Banana zote na kuzimwaga mtoni! WAAMINI: Ameen! MCHUNGAJI: Ningechukua Whisky zote na kuzimwaga mtoni! WAAMINI: Ameen! Baada ya MCHUNGAJI kumaliza mahubiri, mara Mwalimu wa Kwaya akasimama na kuwaambia Waamini, "Fungueni vitabu vyenu tuimbe wimbo namba 152 usemao NASI TUTAKUNYWA MAJI YA MTO HUO!" Waamini wakaropoka: HALELUYAAA!

NDANI YA KANISA:
MCHUNGAJI: Ningekuwa na uwezo ningechukua
Guiness zote na kuzimwaga mtoni!"
Waamini wakajibu Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Safari zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Konyagi zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Banana zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Whisky zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen! Baada ya MCHUNGAJI kumaliza
mahubiri, mara Mwalimu wa Kwaya akasimama na
kuwaambia Waamini, "Fungueni vitabu vyenu
tuimbe wimbo namba 152 usemao NASI
TUTAKUNYWA MAJI YA MTO HUO!" Waamini
wakaropoka: HALELUYAAA!
http://safinamiutamu.blogspot.com/

ni kasheshe la kukata shoka zanziba

Vyama vitano vya siasa vitashiriki katika uchaguzi wa marudio wa Zanzibar, utakaofanyika Machi 20 mwaka huu, uliotangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC). Vyama hivyo ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), ADC, CCK, TLP na SAU.
Hatua hiyo inatokana na vyama vitatu vya siasa Zanzibar vya CCK, SAU na TLP, kutangaza kuwa wagombea wake, watashiriki katika uchaguzi huo wa Machi 20. Taarifa ya viongozi wa vyama vya CCK, SAU na TLP, iliyosomwa kwa pamoja katika Ukumbi wa Culture eneo la Mji Mkongwe mjini hapa jana, ilisema wagombea wa vyama hivyo vitatu, watashiriki uchaguzi huo.Taarifa hiyo ilieleza kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana, ulifutwa baada ya kujitokeza kwa kasoro mbalimbali, zilizoonesha wazi kwamba hauwezi tena kuwa huru na haki. Wagombea wa vyama hivyo vya siasa, waliotangaza kushiriki katika uchaguzi huo ni Ali Khatib kutoka CCK, Issa Mohamed Zonga kutoka SAU na Hafidh Hassan Simai kutoka TLP.Mgombea wa CCK, Ali Khatib Ali alisema kwamba tayari wamejipanga vizuri kwa ajili ya uchaguzi huo na kuwataka wanachama na wafuasi wake na wananchi, kuitumia fursa hiyo ya kidemokrasia kuchagua viongozi watakaoongoza nchi. “Tangazo la Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) limetutaka kurudia uchaguzi kwa sababu ule wa awali umefutwa kwa hivyo hatuna sababu ya kususia uchaguzi huo na tunachofanya kwa sasa ni kuwataka wanachama wetu na wafuasi kujitayarisha kwa uchaguzi wa marudio,” alisema Ali.
Jumapili iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein alisema chama hicho kipo tayari kwa uchaguzi wa marudio Machi 20 kwa lengo la kuhakikisha kinashika dola. Akihutubia mamia ya wanachama wao katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui wakati wa kuzindua maadhimisho ya miaka 39 ya CCM, Dk Shein alisema maamuzi ya kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu, yamefanywa na ZEC ambayo ndiyo chombo halali kwa mujibu wa Katiba cha kushughulikia masuala yote ya uchaguzi nchini.
http://safinamiutamu.blogspot.com/

SOMA HII TAFADHALI

Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 16 alimuuliza mama yake: "Mama, utanifanyia nini nikifikisha umri wa miaka 18 (siku yangu ya kuzaliwa)
Mama akajibu:- "mwanangu bado una unasafari ndefu". mtoto yule lifikisha umri wa miaka 17, siku moja ghafla akaanguka chini.
Mama yake akambeba na kumuaisha hospitali, na daktari akasema: "Mama mwanao ana Moyo mkubwa pia limeonekana tundu katika moyo wake."
Mama akiwa na mwanae pale hospitali huku mama akiwa na mawazo nini cha kufanya, mtoto akamuuliza mama yake " Mama Madaktari wamekwambia mimi ninaenda kufa?? Mama akaanza kulia..
Baada ya muda wa mwaka nzima kijana huyu akiwa amefikisha mika 18 alirudishwa nyumbani kutokana na hali yake kuwa nzuri. baada ya kufika nyumbali alikuta barua ipo kwenye kitanda, iliyokuwa imeandikwa na mama yake.
Barua iliandikwa hivi: Mwanangu unasoma haya kwa sababu kila kitu kimeenda sawa mpaka sasa. kumbuka siku uliyoniambia siku ukifikisha miaka 18 nitakupa nini na hukufahamu kwanini sikukupa jibu. "Nimekupa moyo wangu take care of it and happy Birthday Son" alimalimaza kwa maneno hayo ya kingereza.
Mama alikufa kwasababu ya ili mwanae apone alitakiwa kutoa moyo wake awekewe mwanae.
Kama unaamini Hakuna kama "MAMA" hapa duniani
Andika Nakupenda "MAMA" na kama unamjali mama yako Unaweza SHARE, Iwafikie watu wengi zaidi. Ahsante

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amesema wafanyabiashara watakaokaidi kufanya usafi kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi watapigwa faini ya Sh 50,000 papo kwa hapo. Aliyasema hayo mjini Kibaha mara baada ya kumaliza kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Kibaha wakati wa kutekeleza agizo la Rais Dk John Magufuli la kila mkoa kufanya usafi kila mwezi.Alitoa kauli hiyo kufuatia baadhi ya wafanyabiashara kufungua biashara zao na kutofanya usafi licha ya kutangaziwa kuwa wanapaswa kufunga biashara zao kwa saa kadhaa kwa ajili ya kufanya usafi wa maeneo yao. “Inashangaza kuona baadhi ya watu wanakaidi agizo la viongozi wao kwa kutofanya usafi wa maeneo yao huku wakiendelea kufanya biashara kwenye mazingira machafu,” alisema Ndikilo. Alisema usafi ni suala la kila mtu na si kwa baadhi ya watu, hivyo kila mkazi na mfanyabiashara wa Pwani anapaswa kutenga muda kwa ajili ya usafi wa mazingira.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amesema wafanyabiashara watakaokaidi kufanya usafi kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi watapigwa faini ya Sh 50,000 papo kwa hapo.Aliyasema hayo mjini Kibaha mara baada ya kumaliza kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Kibaha wakati wa kutekeleza agizo la Rais Dk John Magufuli la kila mkoa kufanya usafi kila mwezi.Alitoa kauli hiyo kufuatia baadhi ya wafanyabiashara kufungua biashara zao na kutofanya usafi licha ya kutangaziwa kuwa wanapaswa kufunga biashara zao kwa saa kadhaa kwa ajili ya kufanya usafi wa maeneo yao.“Inashangaza kuona baadhi ya watu wanakaidi agizo la viongozi wao kwa kutofanya usafi wa maeneo yao huku wakiendelea kufanya biashara kwenye mazingira machafu,” alisema Ndikilo.Alisema usafi ni suala la kila mtu na si kwa baadhi ya watu, hivyo kila mkazi na mfanyabiashara wa Pwani anapaswa kutenga muda kwa ajili ya usafi wa mazingira.

Ofisi ya Bunge imesema kitendo cha baadhi ya watu wakiwemo viongozi muhimu katika jamii kuendelea kuzusha mjadala na hata kulaumu uamuzi uliofanywa na Mwenyekiti wa Bunge kuamuru askari kuwatoa nje wabunge, ni kuingilia Mamlaka ya Bunge na kutofahamu vyema Kanuni za Bunge. Imesema hayo katika taarifa yake baada ya kuwapo kwa mjadala katika jamii ambao mwishoni mwa wiki ulimgusa Askofu Mkuu mpya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Frederick Shoo ambaye wakati akitawazwa kushika wadhifa huo, alishutumu askari kuingia bungeni kuwatoa nje wabunge. Ilisema, “kitendo cha baadhi ya watu wakiwemo viongozi muhimu katika jamii kuendelea kuzusha mjadala na hata kulaumu uamuzi uliofanywa na Mwenyekiti wa Bunge kuamuru Askari kuwatoa nje wabunge waliokuwa wanazuia Bunge lisitekeleze majukumu yake kunatokana na kutofahamu vyema Kanuni za Bunge pamoja na kuongozwa na mitazamo na hisia za kisiasa jambo linalosababisha kuingilia Mamlaka ya Kipekee ya Bunge.”

Ofisi ya Bunge imesema kitendo cha baadhi ya watu wakiwemo viongozi muhimu katika jamii kuendelea kuzusha mjadala na hata kulaumu uamuzi uliofanywa na Mwenyekiti wa Bunge kuamuru askari kuwatoa nje wabunge, ni kuingilia Mamlaka ya Bunge na kutofahamu vyema Kanuni za Bunge.
Imesema hayo katika taarifa yake baada ya kuwapo kwa mjadala katika jamii ambao mwishoni mwa wiki ulimgusa Askofu Mkuu mpya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Frederick Shoo ambaye wakati akitawazwa kushika wadhifa huo, alishutumu askari kuingia bungeni kuwatoa nje wabunge.
Ilisema, “kitendo cha baadhi ya watu wakiwemo viongozi muhimu katika jamii kuendelea kuzusha mjadala na hata kulaumu uamuzi uliofanywa na Mwenyekiti wa Bunge kuamuru Askari kuwatoa nje wabunge waliokuwa wanazuia Bunge lisitekeleze majukumu yake kunatokana na kutofahamu vyema Kanuni za Bunge pamoja na kuongozwa na mitazamo na hisia za kisiasa jambo linalosababisha kuingilia Mamlaka ya Kipekee ya Bunge.”
http://safinamiutamu.blogspot.com/

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Damian Lubuva, kuwa mkweli na kuacha kuudanganya umma juu ya kuingiliwa kwa tume wakati wa Uchaguzi Mkuu. Taarifa ya chama hicho kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam na Meneja Mawasiliano, Tumaini Makene, imeeleza kuwa kuingiliwa kwa tume siyo lazima kuwapo maelekezo maalum yanayotolewa wazi na kwamba hata kunyimwa bajeti ambayo imepitishwa na Bunge na kuchelewesha utekelezaji wa majukumu ikiwamo vifaa vya BVR ni mojawapo ya dalili za wazi kuwa tume haiko huru.Alibainisha sifa nyingine kuwa ni kubadilishwa kwa watendaji wa tume katikati ya mchakato wa uchaguzi, kwani wengi walibadilishwa mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kinyume cha kanuni za maadili ya uchaguzi. “Hadi leo Nec imeshindwa kutoa sababu zozote za maana kuhalalisha uteuzi huo ambao uliwaondoa watumishi waliokuwapo na kuwekwa watu waliodaiwa kutoka vyombo vya dola,” alisema.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Damian Lubuva, kuwa mkweli na kuacha kuudanganya umma juu ya kuingiliwa kwa tume wakati wa Uchaguzi Mkuu.Taarifa ya chama hicho kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam na Meneja Mawasiliano, Tumaini Makene, imeeleza kuwa kuingiliwa kwa tume siyo lazima kuwapo maelekezo maalum yanayotolewa wazi na kwamba hata kunyimwa bajeti ambayo imepitishwa na Bunge na kuchelewesha utekelezaji wa majukumu ikiwamo vifaa vya BVR ni mojawapo ya dalili za wazi kuwa tume haiko huru.Alibainisha sifa nyingine kuwa ni kubadilishwa kwa watendaji wa tume katikati ya mchakato wa uchaguzi, kwani wengi walibadilishwa mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kinyume cha kanuni za maadili ya uchaguzi.“Hadi leo Nec imeshindwa kutoa sababu zozote za maana kuhalalisha uteuzi huo ambao uliwaondoa watumishi waliokuwapo na kuwekwa watu waliodaiwa kutoka vyombo vya dola,” alisema.

Kiukweli simfahamu... Sijawai hata kumuona, Wala kuzungumza nae.....na sio kwasababu Eti kaniimba mimi, hapana!... ila ni userious na uzuri wa kazi aliyoifanya ndio vimenifanya nione ni vizuri kumleta kwenu hapa wadau ili kwa pamoja tumsupport naye kesho na keshokutwa afikie malengo ya kazi yake na kuwa Balozi mzuri wa nchi yetu kupitia Bongo flavour..Huyu hapa! Anaitwa MEDA kutoka IRINGA

Maoni elfu 128

Baada ya malalamiko ya wabunge wa upinzani juu ya wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge, Spika wa Bunge, Job Ndugai, anatarajia kuzipangua kamati hizo.Taarifa ambazo zimepatikana mjini hapa jana, licha ya kuwapo kwa baadhi ya wajumbe walioomba kuhamishwa kwenye kamati walizopangiwa awali, kumekuwapo na mazungumzo kati ya Kambi ya Upinzani Bungeni na kiti ofisi ya Spika juu ya suala hilo.Inaelezwa kati ya wajumbe watakaohamishwa kutoka kwenye kamati zao za awali ni Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe analiyekuwa kwenye Kamati ya Maendeleo ya Jamii na sasa atapelekwa ya Hesabu za Serikali (PAC).Naye Mbatia aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Miundombinu, sasa atapelekwa kwenye Kamati ya Bajeti aliyokuwa akitumikia kwenye Bunge la 10. “Mbali na kambi ya upinzani bungeni, kulikuwa pia na shinikizo la mataifa ya nje ambayo yanataka hizi kamati za kuangalia serikali ziongozwe na upinzani, jambo ambalo Spika pia alikuwa anataka lakini kwa sababu fulanifulani ikawa kama ambavyo tuliona kamati zimepangwa awa,” kilisema chanzo kimoja cha habari kilichotaka kutotajwa jina lake.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei kikomo ya mafuta, ambapo bei ya dizeli imeshuka kutoka Sh. 1,747 hadi Sh 1,600, likiwa ni punguzo la Sh. 147 kwa lita.Kadhalika, bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa Sh. 55, hivyo kufanya mafuta hayo kuanzia leo kuuzwa kwa bei isiyozidi Sh. 1,842 kutoka Sh. 1,898 kwa lita kama kilivyokuwa ikiuzwa mwezi

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei kikomo ya mafuta, ambapo bei ya dizeli imeshuka kutoka Sh. 1,747 hadi Sh 1,600, likiwa ni punguzo la Sh. 147 kwa lita.Kadhalika, bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa Sh. 55, hivyo kufanya mafuta hayo kuanzia leo kuuzwa kwa bei isiyozidi Sh. 1,842 kutoka Sh. 1,898 kwa lita kama kilivyokuwa ikiuzwa mwezi uliopita.Taarifa iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi, ilieleza kuwa, kupungua kwa bei ya mafuta kwenye soko la ndani kwa kiasi kikubwa kumetokana na kushuka kwa bei ya nishati hiyo katika soko la dunia na pia kushuka kwa gharama za usafarishaji na bidhaa za mafuta hayo kuja nchini. “Hakukuwa na mafuta ya taa yaliyoingizwa nchini Januari mwaka huu, hivyo Februari bei ya bidhaa hii itaendelea kuwa kama ilivyokuwa kwa Januari ambayo ni Sh. 1,699 kwa lita kwa soko la Dar es Salaam,” alisema.
Ngamlagosi alisema kushuka kwa namna hiyo kulitokea Machi, mwaka jana, lita moja ya mafuta ya dizeli ilishuka hadi kufikia Sh. 145 na dizeli kuzwa kwa Sh. 1,563 kwa lita.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei kikomo ya mafuta, ambapo bei ya dizeli imeshuka kutoka Sh. 1,747 hadi Sh 1,600, likiwa ni punguzo la Sh. 147 kwa lita.Kadhalika, bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa Sh. 55, hivyo kufanya mafuta hayo kuanzia leo kuuzwa kwa bei isiyozidi Sh. 1,842 kutoka Sh. 1,898 kwa lita kama kilivyokuwa ikiuzwa mwezi uliopita.Taarifa iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi, ilieleza kuwa, kupungua kwa bei ya mafuta kwenye soko la ndani kwa kiasi kikubwa kumetokana na kushuka kwa bei ya nishati hiyo katika soko la dunia na pia kushuka kwa gharama za usafarishaji na bidhaa za mafuta hayo kuja nchini. “Hakukuwa na mafuta ya taa yaliyoingizwa nchini Januari mwaka huu, hivyo Februari bei ya bidhaa hii itaendelea kuwa kama ilivyokuwa kwa Januari ambayo ni Sh. 1,699 kwa lita kwa soko la Dar es Salaam,” alisema. Ngamlagosi alisema kushuka kwa namna hiyo kulitokea Machi, mwaka jana, lita moja ya mafuta ya dizeli ilishuka hadi kufikia Sh. 145 na dizeli kuzwa kwa Sh. 1,563 kwa lita.

ilieleza kuwa, kupungua kwa bei ya mafuta kwenye soko la ndani kwa kiasi kikubwa kumetokana na kushuka kwa bei ya nishati hiyo katika soko la dunia na pia kushuka kwa gharama za usafarishaji na bidhaa za mafuta hayo kuja nchini. “Hakukuwa na mafuta ya taa yaliyoingizwa nchini Januari mwaka huu, hivyo Februari bei ya bidhaa hii itaendelea kuwa kama ilivyokuwa kwa Januari ambayo ni Sh. 1,699 kwa lita kwa soko la Dar es Salaam,” alisema.
Ngamlagosi alisema kushuka kwa namna hiyo kulitokea Machi, mwaka jana, lita moja ya mafuta ya dizeli ilishuka hadi kufikia Sh. 145 na dizeli kuzwa kwa Sh. 1,563 kwa lita.
Times Fm TZ's photo.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei kikomo ya mafuta, ambapo bei ya dizeli imeshuka kutoka Sh. 1,747 hadi Sh 1,600, likiwa ni punguzo la Sh. 147 kwa lita.Kadhalika, bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa Sh. 55, hivyo kufanya mafuta hayo kuanzia leo kuuzwa kwa bei isiyozidi Sh. 1,842 kutoka Sh. 1,898 kwa lita kama kilivyokuwa ikiuzwa mwezi uliopita.Taarifa iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi, ilieleza kuwa, kupungua kwa bei ya mafuta kwenye soko la ndani kwa kiasi kikubwa kumetokana na kushuka kwa bei ya nishati hiyo katika soko la dunia na pia kushuka kwa gharama za usafarishaji na bidhaa za mafuta hayo kuja nchini. “Hakukuwa na mafuta ya taa yaliyoingizwa nchini Januari mwaka huu, hivyo Februari bei ya bidhaa hii itaendelea kuwa kama ilivyokuwa kwa Januari ambayo ni Sh. 1,699 kwa lita kwa soko la Dar es Salaam,” alisema.
Ngamlagosi alisema kushuka kwa namna hiyo kulitokea Machi, mwaka jana, lita moja ya mafuta ya dizeli ilishuka hadi kufikia Sh. 145 na dizeli kuzwa kwa Sh. 1,563 kwa lita.



Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei kikomo ya mafuta, ambapo bei ya dizeli imeshuka kutoka Sh. 1,747 hadi Sh 1,600, likiwa ni punguzo la Sh. 147 kwa lita.Kadhalika, bei ya mafuta ya petroli imeshuka kwa Sh. 55, hivyo kufanya mafuta hayo kuanzia leo kuuzwa kwa bei isiyozidi Sh. 1,842 kutoka Sh. 1,898 kwa lita kama kilivyokuwa ikiuzwa mwezi uliopita.Taarifa iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix Ngamlagosi, ilieleza kuwa, kupungua kwa bei ya mafuta kwenye soko la ndani kwa kiasi kikubwa kumetokana na kushuka kwa bei ya nishati hiyo katika soko la dunia na pia kushuka kwa gharama za usafarishaji na bidhaa za mafuta hayo kuja nchini. “Hakukuwa na mafuta ya taa yaliyoingizwa nchini Januari mwaka huu, hivyo Februari bei ya bidhaa hii itaendelea kuwa kama ilivyokuwa kwa Januari ambayo ni Sh. 1,699 kwa lita kwa soko la Dar es Salaam,” alisema.
Ngamlagosi alisema kushuka kwa namna hiyo kulitokea Machi, mwaka jana, lita moja ya mafuta ya dizeli ilishuka hadi kufikia Sh. 145 na dizeli kuzwa kwa Sh. 1,563 kwa lita.
afinamiutamu.blogspot.com

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ametoa dola za Marekani milioni 100 (Sh. bilioni 220) kutoka katika mfuko mkuu wa kushughulikia dharura wa umoja huo (CERF), kwa ajili ya shughuli za misaada katika maeneo tisa yenye dharura duniani na yasiyo na fedha za kutosha. Katika msaada huo, Tanzania imetengewa dola za Marekani milioni 11 (Sh. bilioni 24) kwa lengo la kushughulikia mahitaji ya wakimbizi kutoka Burundi. Zaidi ya raia 126,000 wa Burundi wamekimbilia nchini tangu Aprili, mwaka huu, kutokana na machafuko ya kisiasa nchini kwao, huku wengine 64,000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) wakiwa wako nchini. Tanzania kwa sasa ina zaidi ya wakimbizi 193,000, ikikadiriwa kuwa takribani wakimbizi 1,500 wanawasili nchini kila wiki na huenda idadi hiyo ikafikia 230,000 hadi mwisho wa mwaka huu.

Wasomi, wanasiasa na wadau mbalimbali wametoa maoni kuhusu mgongano wa mawazo juu ya Rais John Magufuli kutosafiri nje ya nchi hadi sasa, huku wengi wakishauri Watanzania kutoingilia staili ya

Wasomi, wanasiasa na wadau mbalimbali wametoa maoni kuhusu mgongano wa mawazo juu ya Rais John Magufuli kutosafiri nje ya nchi hadi sasa, huku wengi wakishauri Watanzania kutoingilia staili ya utendaji ya Rais.Akitoa maoni yake, Mhadhiri wa Uchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Haji Semboja alisema si sahihi sana kusema Rais hataki kusafiri, au hataki watendaji wa serikali kusafiri nje kwa masuala ya msingi. “Ifahamike kwamba Rais ameingia madarakani wakati nchi imeingia katika kipindi cha pili cha utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2015/2016.Kwa hiyo kitu alichokifanya mara tu baada ya kuingia ni kutangaza kubana matumizi katika baadhi ya maeneo. “Eneo mojawapo ambalo Rais alitangaza kubana matumizi ni katika suala hili la safari zisizo za muhimu, na tuliona aliweza hata kubadilisha staili ya sherehe ya Uhuru ya mwaka jana na hata maeneo ya kufanyia mikutano kwa kuamuru ifanyike katika maeneo ya kazi.“Hii ilikuwa ni kama kusema Watanzania tujifunge mkanda ili kuweza kukusanya fedha na kuongeza uwezo wa serikali kiuchumi ili katika mwaka ujao, fedha ziweze kutengenezewa utaratibu mzuri zaidi wa matumizi. Naamini baada ya kuwepo kwa utaratibu mzuri hali haitakuwa kama ilivyo sasa,” alisema Profesa Semboja. Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusufu Makamba alisema; “Kila mtu ana staili yake ya kazi.Rais ana staili yake ya kufanya kazi. Watu wanataka aache staili yake ili afuate staili ya nani? “Wanataka Rais aanze kusafiri nje ya nchi kwani kwa kutokwenda huko kimeharibika nini? Wasambaa wana msemo kwamba ‘Unakwenda shambani kama nyumbani kumepoa’.Wasomi, wanasiasa na wadau mbalimbali wametoa maoni kuhusu mgongano wa mawazo juu ya Rais John Magufuli kutosafiri nje ya nchi hadi sasa, huku wengi wakishauri Watanzania kutoingilia staili ya utendaji ya Rais.Akitoa maoni yake, Mhadhiri wa Uchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Haji Semboja alisema si sahihi sana kusema Rais hataki kusafiri, au hataki watendaji wa serikali kusafiri nje kwa masuala ya msingi. “Ifahamike kwamba Rais ameingia madarakani wakati nchi imeingia katika kipindi cha pili cha utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2015/2016.Kwa hiyo kitu alichokifanya mara tu baada ya kuingia ni kutangaza kubana matumizi katika baadhi ya maeneo. “Eneo mojawapo ambalo Rais alitangaza kubana matumizi ni katika suala hili la safari zisizo za muhimu, na tuliona aliweza hata kubadilisha staili ya sherehe ya Uhuru ya mwaka jana na hata maeneo ya kufanyia mikutano kwa kuamuru ifanyike katika maeneo ya kazi.“Hii ilikuwa ni kama kusema Watanzania tujifunge mkanda ili kuweza kukusanya fedha na kuongeza uwezo wa serikali kiuchumi ili katika mwaka ujao, fedha ziweze kutengenezewa utaratibu mzuri zaidi wa matumizi. Naamini baada ya kuwepo kwa utaratibu mzuri hali haitakuwa kama ilivyo sasa,” alisema Profesa Semboja. Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusufu Makamba alisema; “Kila mtu ana staili yake ya kazi.Rais ana staili yake ya kufanya kazi. Watu wanataka aache staili yake ili afuate staili ya nani? “Wanataka Rais aanze kusafiri nje ya nchi kwani kwa kutokwenda huko kimeharibika nini? Wasambaa wana msemo kwamba ‘Unakwenda shambani kama nyumbani kumepoa’.

Wasomi, wanasiasa na wadau mbalimbali wametoa maoni kuhusu mgongano wa mawazo juu ya Rais John Magufuli kutosafiri nje ya nchi hadi sasa, huku wengi wakishauri Watanzania kutoingilia staili ya utendaji ya Rais.Akitoa maoni yake, Mhadhiri wa Uchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Haji Semboja alisema si sahihi sana kusema Rais hataki kusafiri, au hataki watendaji wa serikali kusafiri nje kwa masuala ya msingi. “Ifahamike kwamba Rais ameingia madarakani wakati nchi imeingia katika kipindi cha pili cha utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2015/2016.Kwa hiyo kitu alichokifanya mara tu baada ya kuingia ni kutangaza kubana matumizi katika baadhi ya maeneo. “Eneo mojawapo ambalo Rais alitangaza kubana matumizi ni katika suala hili la safari zisizo za muhimu, na tuliona aliweza hata kubadilisha staili ya sherehe ya Uhuru ya mwaka jana na hata maeneo ya kufanyia mikutano kwa kuamuru ifanyike katika maeneo ya kazi.“Hii ilikuwa ni kama kusema Watanzania tujifunge mkanda ili kuweza kukusanya fedha na kuongeza uwezo wa serikali kiuchumi ili katika mwaka ujao, fedha ziweze kutengenezewa utaratibu mzuri zaidi wa matumizi. Naamini baada ya kuwepo kwa utaratibu mzuri hali haitakuwa kama ilivyo sasa,” alisema Profesa Semboja. Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusufu Makamba alisema; “Kila mtu ana staili yake ya kazi.Rais ana staili yake ya kufanya kazi. Watu wanataka aache staili yake ili afuate staili ya nani? “Wanataka Rais aanze kusafiri nje ya nchi kwani kwa kutokwenda huko kimeharibika nini? Wasambaa wana msemo kwamba ‘Unakwenda shambani kama nyumbani kumepoa’.

ingia katika kipindi cha pili cha utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2015/2016.Kwa hiyo kitu alichokifanya mara tu baada ya kuingia ni kutangaza kubana matumizi katika baadhi ya maeneo. “Eneo mojawapo ambalo Rais alitangaza kubana matumizi ni katika suala hili la safari zisizo za muhimu, na tuliona aliweza hata kubadilisha staili ya sherehe ya Uhuru ya mwaka jana na hata maeneo ya kufanyia mikutano kwa kuamuru ifanyike katika maeneo ya kazi.“Hii ilikuwa ni kama kusema Watanzania tujifunge mkanda ili kuweza kukusanya fedha na kuongeza uwezo wa serikali kiuchumi ili katika mwaka ujao, fedha ziweze kutengenezewa utaratibu mzuri zaidi wa matumizi. Naamini baada ya kuwepo kwa utaratibu mzuri hali haitakuwa kama ilivyo sasa,” alisema Profesa Semboja. Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusufu Makamba alisema; “Kila mtu ana staili yake ya kazi.Rais ana staili yake ya kufanya kazi. Watu wanataka aache staili yake ili afuate staili ya nani? “Wanataka Rais aanze kusafiri nje ya nchi kwani kwa kutokwenda huko kimeharibika nini? Wasambaa wana msemo kwamba ‘Unakwenda shambani kama nyumbani kumepoa’.
Times Fm TZ's photo.
Wasomi, wanasiasa na wadau mbalimbali wametoa maoni kuhusu mgongano wa mawazo juu ya Rais John Magufuli kutosafiri nje ya nchi hadi sasa, huku wengi wakishauri Watanzania kutoingilia staili ya utendaji ya Rais.Akitoa maoni yake, Mhadhiri wa Uchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Haji Semboja alisema si sahihi sana kusema Rais hataki kusafiri, au hataki watendaji wa serikali kusafiri nje kwa masuala ya msingi. “Ifahamike kwamba Rais ameingia madarakani wakati nchi imeingia katika kipindi cha pili cha utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2015/2016.Kwa hiyo kitu alichokifanya mara tu baada ya kuingia ni kutangaza kubana matumizi katika baadhi ya maeneo. “Eneo mojawapo ambalo Rais alitangaza kubana matumizi ni katika suala hili la safari zisizo za muhimu, na tuliona aliweza hata kubadilisha staili ya sherehe ya Uhuru ya mwaka jana na hata maeneo ya kufanyia mikutano kwa kuamuru ifanyike katika maeneo ya kazi.“Hii ilikuwa ni kama kusema Watanzania tujifunge mkanda ili kuweza kukusanya fedha na kuongeza uwezo wa serikali kiuchumi ili katika mwaka ujao, fedha ziweze kutengenezewa utaratibu mzuri zaidi wa matumizi. Naamini baada ya kuwepo kwa utaratibu mzuri hali haitakuwa kama ilivyo sasa,” alisema Profesa Semboja. Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusufu Makamba alisema; “Kila mtu ana staili yake ya kazi.Rais ana staili yake ya kufanya kazi. Watu wanataka aache staili yake ili afuate staili ya nani? “Wanataka Rais aanze kusafiri nje ya nchi kwani kwa kutokwenda huko kimeharibika nini? Wasambaa wana msemo kwamba ‘Unakwenda shambani kama nyumbani kumepoa’.

Ni Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Nnauye. Unafurahishwa kwa kiasi gani na utendaji wake?

tuambie ni somo gani ulikuwa ukilichukia zaidi shule ukiwa sekondari

Kwanini una enjoy kutumia Facebook? (A) Kufurahi na marafiki (B) Natafuta mademu/mabwana (C) Napoteza stress (D)_________?

mfalme wa voko za bongo na mwenye sauti nzu

Alikiba Ampiga Dongo Diamond Na Kudai Kuwa Hatoweza Kumshirikisha Katika Nyimbo Yoyote Ile Maana Hana Hadhi Yakufanya Nae Collabo....Mashabiki Wa Diamond Waja Juu...Bofya Hapa=>http://goo.gl/Ng74MH

UTENZI BORA WA LEO, By Malisa GJ,

Kuna shairi limeandikwa na Mwanajeshi mmoja nchini Nigeria limenivutia sana. Nimelitafsiri kwa Kiswahili na ninali-dedicate kwa Jeshi letu la Wananchi wa Tanzania (JWTZ);
_____________________________
Tunalala kwenye vumbi na matope ili wewe ulale kitandani,
Tunala na bunduki ili wewe ulale na mwenzi wako,
Tunalala porini ili wewe ulale kwenye nyumba,
Unavaa kofia maridadi ya kupendeza, sisi tunavaa kofia ngumu na nzito za chuma,
Unavaa "vest" nzuri ya pamba, sisi tunavaa "vest" za shaba,
Unavaa mkanda wa ngozi kiunoni, sisi tunavaa mikanda ya risasi,
Asubuhi unaamshwa na "alarm" nzuri ya simu yako, sisi tunaamshwa na milio ya mabomu na risasi,
Unatembelea gari zuri la thamani, sisi tunatembelea vifaru na malori,
Unakula chakula kizuri ukipendacho, tunakula wadudu na matunda porini,
Tunakesha ili wewe upate usingizi,
Tunaua ili wewe uishi,
Tunaumia ili wewe upone,
Tunaitoa sadaka "leo yetu" kwa manufaa ya "kesho yako",
Tunatoa sadaka maisha yetu ili kutetea maisha yako,
Tunakupigania usiku na mchana kwa sababu tunakupenda,
Tunaipenda nchi yetu,
Sisi ni wanajeshi,
Sisi ni wazalendo,
Sisi ni mashujaa,
Ombea wote waliofia vitani,
Wamekufa wakitetea nchi yetu,
Wamekufa wakitetea uhai wako,
Ni mashujaa wetu,
Nchi yetu,
Amani yetu,
Jeshi letu.
MUNGU LIBARIKI Jeshi La Wananchi wa Tanzania (JWTZ).!
Malisa GJ.!

Watu Wapo Fasta Sana Kukamata Fursa..Baada Ya Nuh Mziwanda Kulitosa Penzi La Shilole Sasa Q Chief Alidandia Penzi Hilo Na Kuachia Mapicha Kibao Kibao Wakifanya Yao...Wakubwa Tu Kuziona Bofya Hapa=> http://safinamiutamu.blogspot.com/http://safinamiutamu.blogspot.com/

Wazanzibar waishio Canada waliandamana kupinga kurudiwa kwa Uchaguzi visiwani humo. Bofya hapa http://bit.ly/20GdfV4

Wakati baadhi ya watu wakionesha misimamo yao na kuunga mkono kurudiwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar mwezi ujao. Wewe uko upande gani kati ya wanaounga na wanaopinga kurudiwa Uchaguzi wa Zanzibar? toa ya moyoni

East Africa Television (EATV)'s photo.

DHAMBI: Ichukie dhambi, Ikimbie dhambi, Usiikaribishe dhambi, Usiichekee dhambi, dhambi ikae mbali nawe, UWE MOTO UWE MTAKATIFU dhambi ikuogope, ikikuona IKIMBIE YENYEWE.

Dhambi inakufanya kuwa mdogo, dhambi inakufanya mgonjwa, Matunda ya dhambi ni Mabaya sana. Unatamani kukaa katika dhiki siku zote? kama Hapana AMUA dhambi iwe mbali na wewe, ikikuona IKIMBIE YENYEWE, Ikuogope.
Sikiliza dhambi utaifanya kwa Siku moja, lakini ITAKUTESA kwa MIAKA.
Usitoe Maamuzi Magumu kwenye KITU CHA KUPITA, Mara nyingi Wanalia kwa sababu Walifanya Maamuzi Magumu kwenye Kitu cha Kupita.
DHAMBI Ikae mbali na WEWE, Ikikuona Ikuogope na IKUKIMBIE, Inawezekana, AMUA.
Breaking Newz: Ngoma Mpya Ya Alikiba “LUPELA” Imevuja..Kuwa Wakwanza Kuidownload Hapa=> http://goo.gl/Ng74MH

ZARI THE BOSSLADY KATIKA POZI LA TABASAMU LA UKWELI!! HAKIKA HUYU DADA KAUMBWA AKAUMBIKA!!!NI MREMBO HASWAA!! LIKE PGE HI NA SHARE PICHA HII KAMA UNAMKUBALI ZARI BOSSLADY (MAMA TIFFAH

USIWASIKILIZE WAKATISHA TAMAA…SOMA HAPA

USIWASIKILIZE WAKATISHA TAMAA…SOMA HAPA
Dunia imejaa wakatisha tamaa kuliko watia moyo.Unapoingia shuleni kwa mara ya kwanza utaambiwa masomo ni magumu sana;
Ukiingia chuo mwaka wa kwanza utaambiwa wahadhiri wanakamata balaa (lakini utashangaa watu wanahitimu na wanapata A za kutosha);
Ukipata nafasi ya kazi baada ya masomo unaowakuta watakwambia mazingira ya kazi ni mabaya na magumu sana hapa;
Ukitaka kuoa utaambiwa eti siku hizi hakuna wanawake wa kuoa, wote ni Beijing (Mchina);
Dada ukitaka kuolewa utaambiwa wanaume wa siku hizi sio watu (sasa sijui ni viumbe gani);
Ukitaka kujenga nyumba
watakwambia kujenga si lelemama, unaweza kuishia kwenye msingi tu;
Hata ukitaka kuanza biashara utakaowakuta watakwambia biashara ni ngumu sana na unahitaji mtaji wa milioni
100 ili ufanye hii biashara (wakati wenyewe walianza na milioni 2, mtaji ukakua taratibu);
na mambo mengine kibao..!!! Inawezekana kuwasikiliza watu wa aina hii ni moja ya sababu zilizokufanya usifanye vizuri mwaka 2015.
2016 badilisha mwelekeo na anza kusikiliza habari zenye matumaini na uchukue hatua katika yale uliyoyapanga. Safari ya maili 1,000 huanza kwa hatua 1!
Comment neno 'ASANTE' kama umejifunza kitu kutoka kwenye ujumbe huu halafu SHARE na wengine

PESA YAIMBA WIMBO