Friday, December 11, 2015
# News : Manufacturers of electric poles in the country are required to comply with the quality standards of their images so that they can meet the criteria for domestic and international market. It will also provide more opportunities for local companies selling pillar working with electric utility in the country TANESCO accordance with the laws of the transaction considering the quality of the columns and the price ..
# News
# Newshttp://safinamiutamu.blogspot.com/ : The United Nations has said one of the suspects of the genocide in Rwanda.
1994 recaptured the Democratic Republic of Congo.
The person Ladislas NTAGANZWA 53-year-old is accused of organizing the rape
1994 recaptured the Democratic Republic of Congo.
The person Ladislas NTAGANZWA 53-year-old is accused of organizing the rape
Wednesday, December 9, 2015
#USAFI:Vijana wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) wameungana na watanzania wengine kufanya usafi katika eneo la Hospitali ya Mkoa wa Arusha Mount Meru ikiwa ni agizo la rais wa Tanzania awamu ya Tano Dk.John Pombe Magufuli lakuwataka watanzania kufanya usafi Siku hii ya Sherehe za Uhuru Disemba 9 na kuifanya kuwa siku ya usafi ili kuepukana na Magonjwa ya mlipuko.
USAFI:Mkuu wa Majeshi nchini Mh.Davis Mwamunyange sambamba na Jeshi lake Lugalo jijini Dar es Salaam wameshiriki katika zoezi la usafi ikiwa nisehemu ya maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanzania na kutekeleza agizo la Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama rais Dk.John Pombe Magufuli la kutaka siku hii kufanyika usafi kuepuka magonjwa ya mlipuko.
#USAFI:Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakifanya usafi katika soko kuu la Chalinze leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama ilivyoagizwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli.
UHURU NA KaZItu
A
UHURU NA KZI✔ Rais Mstaafu Jakaya Kikwete nae ashiriki zoezi la usafi, ama kwa hakika inapendeza sana #HapaKaziTu #Tanzania#Magufuli #UhuruNaUsafi #HappyIndependenceDay Wapendwa #Sporah
Watu 4 wamefariki dunia kufuatia mvua zilizonyesha kwa siku mbili mfululizo Kilimanjaro.

Watu wanne wamefariki na wengine wawili wamelazwa katika kituo cha afya cha kifula wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro kutokana na mvua kubwa iliyonyesha kwa siku mbili mfululizo katika wilaya hiyo juzi na jana na kusababisha mafuriko na mmomonyoko wa miamba.
Mkuu wa wilaya hiyo Bw Shayibu Ndemanga amesema, watu wawili waliokuwa wamepakia bodaboda walisombwa na maji katika daraja la mto Makokoro walipokuwa wakivuka ambapo kamati ya ulinzi na usalama pamoja na kushiriki usafi lakini walikwenda kutafuta miili ya marehemu kando ya mto huo bila mafanikio.
Bw Ndemanga ameiambia ITV kuwa watu wengine wawili walifariki baada ya kusombwa na maji na kutumbukia bwawa la nyumba na mtoto kuangukiwa na miamba ya mawe kwenye nyumba aliyokuwa amelala katika kijiji cha Vuaga na wengine wawili kulazwa kituo cha afya cha Kifula tarafa ya Ugweno.
Mkazi wa mji wa Mwanga Bw Kajiru Mfanga ameiomba serikali ijenge daraja kubwa katika mto huo na kuongeza idadi ya makaravati ambayo yatasaidia kudhibiti wingi wa maji yanayotiririka kutoka milima ya Usangi na Ugweni.
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya hiyo Bw Jamhuri William amesema, wakati wanashiriki katika zoezi la usafi na wafanyakazi wa ofisi yake na mkuu wa wilaya kutekeleza agizo la rais John Pombe Magufuli watu kumi walitiwa mbaroni kwa kupuuza agizo hilo.
COMMENTS
Watu 4 wanaosadikiwa kuwa Majambazi wapora milioni 80 kwa mwenyekiti wa Tuvoka Tanga.

Watu wanne wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia nyumbani kwa mwenyekiti wa kikundi cha kuweka na kukopa kinachojulikana kwa jina la Tuvoka chenye makao yake makuu eneo la Amboni jijini Tanga kisha kudaiwa kupora fedha zaidi ya shilingi milioni 80 ambazo inadaiwa kuwa ni makusanyo ya wanachama wa kikundi hicho kwa muda wa wiki nzima.
Wakizungumza katika nyumba ya mwenyekiti huyo anayedaiwa kuvamiwa kisha kuporwa fedha hizo majira ya saa tisa alfajiri, viongozi, mashuhuda na wajumbe wa kikundi cha Tuvoka wamesema watu hao waliokuwa wamefunika nyuso zao na vitambaa vyeusi wanadaiwa kuwa walivamia majira ya saa tisa afajiri kisha kuingia katika chumba cha mwenyekiti huyo na kumuamuru kuwa awaoneshe mahali fedha hizo ameziweka.
Kwa upande wake katibu wa kikundi hicho Monica Monela akifafanua kuhusu fedha hizo amesema wajumbe wa kikundi hicho wamegawanyika katika sehemu kuu mbili ambapo sehemu ya kwanza walikuwa wameweka fedha kwa mwenyekiti zaidi ya shilingi milioni 43 huku sehemu ya pili waliweka shilingi milioni 42 ambazo kila mwishini mwa mwaka wanagawana faida.
Kufuatia hatua hiyo kamanda wa polisi mkoani Tanga Bwana Zubeir Mwombeji akizungumza kwa njia ya simu amesema taarifa hizo hana na ameshangazwa kwa viongozi wa kikundi hicho kuweka shilingi milioni 80 nyumbani hatua ambayo amesema jeshi lake litafanya uchunguzi wa sula hilo.
Zoezi la Polisi kupambana na ugaidi lazua taharuki kwa wananchi bariadi mkoani Simiyu.

Wananchi wa mji wa Bariadi mkoani Simiyu husuan wafanyabiashara wa maduka wameshikwa na taharuki kubwa kufatia zoezi la kupambana na magaidi lililofanywa na askari polisi wa mkoa huo.
Zoezi hilo ambalo limefanyika eneo la soko kuu majira ya saa tano limezuia taharuki huku wananchi wakianguka hovyo wakidhani wamevamiwa na majambazi baada ya watu waliovalia nguo nyeusi kuvamia eneo hilo na kufyatua mabomu hewani, akizungumza mara baada ya zoezi hilo mkuu wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Simiyu, mratibu wa Polisi Oscar Felisian amesema lengo la zoezi hilo ni kuwaweka tayari wananchi iwapo patatokea majanga mbalimbali likiwemo suala la ugaidi.
Kwa upande wao wananchi waliozungumza na ITV kuhusuina na zoezi hilo wamelipongeza jeshi hilo huku wakiliomba liwe linafanya zoezi hilo mara kwa mara ili wananchi waweze kuwa na uelewa.
Hilo ni zoezi la kwanza kutekelezwa na jeshi la polisi tangia kuanzishwa kwa mkoa huu.
#Habari Mamlaka ya usimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini (SUMATRA) kwa kushirikiana na jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani mkoani Dodoma wamefanya ukaguzi wa kushtukiza kwenye
#Habari Mamlaka ya usimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini (SUMATRA) kwa kushirikiana na jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani mkoani Dodoma wamefanya ukaguzi wa kushtukiza kwenye kituo kikuu cha mabasi mkoani humo na kubaini baadhi ya mabasi kutokidhi usalama wa usafirishaji abiria huku mengine yakitoza nauli maradufu kinyume na bei elekezi iliyotolewa na mamlaka hiyo.
Katika ukaguzi huo ulioanza mapema alfajiri kwenye kituo kikuu cha mabasi yanayosafiri kutoka Dodoma kwenda mikoa mbalimbali na nchi jirani maofisa wa SUMATRA na jeshi la Polisi pia wakatumia fursa hiyo kutoa elimu kwa abiria juu ya usalama wao wawapo safarini ikiwa ni pamoja na kuripoti mara moja mienendo mibaya ya madereva katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka ambacho wasafiri wanaongezeka.
Subscribe to:
Comments (Atom)
-
UFUSKA...@@PICHA 6 ZA MREMBO AKILAMBA MKUNDU WA MWENZAKE BILA AIBU MBELE ZA WATU ..ANGALIA HAPA... peruztz.blogspot.c...
-
Chombezo: MPANGAJI Sehemu: 14 Mtunzi: Frank Masai Simu: 0717 738973 ILIPOISHIA... “Huyu ni mgeni,ni mdogo wake George,katoka Dar. Kafika ha...
















