Wednesday, February 3, 2016

NDANI YA KANISA: MCHUNGAJI: Ningekuwa na uwezo ningechukua Guiness zote na kuzimwaga mtoni!" Waamini wakajibu Ameen! MCHUNGAJI: Ningechukua Safari zote na kuzimwaga mtoni! WAAMINI: Ameen! MCHUNGAJI: Ningechukua Konyagi zote na kuzimwaga mtoni! WAAMINI: Ameen! MCHUNGAJI: Ningechukua Banana zote na kuzimwaga mtoni! WAAMINI: Ameen! MCHUNGAJI: Ningechukua Whisky zote na kuzimwaga mtoni! WAAMINI: Ameen! Baada ya MCHUNGAJI kumaliza mahubiri, mara Mwalimu wa Kwaya akasimama na kuwaambia Waamini, "Fungueni vitabu vyenu tuimbe wimbo namba 152 usemao NASI TUTAKUNYWA MAJI YA MTO HUO!" Waamini wakaropoka: HALELUYAAA!

NDANI YA KANISA:
MCHUNGAJI: Ningekuwa na uwezo ningechukua
Guiness zote na kuzimwaga mtoni!"
Waamini wakajibu Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Safari zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Konyagi zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Banana zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Whisky zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen! Baada ya MCHUNGAJI kumaliza
mahubiri, mara Mwalimu wa Kwaya akasimama na
kuwaambia Waamini, "Fungueni vitabu vyenu
tuimbe wimbo namba 152 usemao NASI
TUTAKUNYWA MAJI YA MTO HUO!" Waamini
wakaropoka: HALELUYAAA!
http://safinamiutamu.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO