Dhambi inakufanya kuwa mdogo, dhambi inakufanya mgonjwa, Matunda ya dhambi ni Mabaya sana. Unatamani kukaa katika dhiki siku zote? kama Hapana AMUA dhambi iwe mbali na wewe, ikikuona IKIMBIE YENYEWE, Ikuogope.
Sikiliza dhambi utaifanya kwa Siku moja, lakini ITAKUTESA kwa MIAKA.
Usitoe Maamuzi Magumu kwenye KITU CHA KUPITA, Mara nyingi Wanalia kwa sababu Walifanya Maamuzi Magumu kwenye Kitu cha Kupita.
DHAMBI Ikae mbali na WEWE, Ikikuona Ikuogope na IKUKIMBIE, Inawezekana, AMUA.

No comments:
Post a Comment