ingia katika kipindi cha pili cha utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2015/2016.Kwa hiyo kitu alichokifanya mara tu baada ya kuingia ni kutangaza kubana matumizi katika baadhi ya maeneo. “Eneo mojawapo ambalo Rais alitangaza kubana matumizi ni katika suala hili la safari zisizo za muhimu, na tuliona aliweza hata kubadilisha staili ya sherehe ya Uhuru ya mwaka jana na hata maeneo ya kufanyia mikutano kwa kuamuru ifanyike katika maeneo ya kazi.“Hii ilikuwa ni kama kusema Watanzania tujifunge mkanda ili kuweza kukusanya fedha na kuongeza uwezo wa serikali kiuchumi ili katika mwaka ujao, fedha ziweze kutengenezewa utaratibu mzuri zaidi wa matumizi. Naamini baada ya kuwepo kwa utaratibu mzuri hali haitakuwa kama ilivyo sasa,” alisema Profesa Semboja. Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusufu Makamba alisema; “Kila mtu ana staili yake ya kazi.Rais ana staili yake ya kufanya kazi. Watu wanataka aache staili yake ili afuate staili ya nani? “Wanataka Rais aanze kusafiri nje ya nchi kwani kwa kutokwenda huko kimeharibika nini? Wasambaa wana msemo kwamba ‘Unakwenda shambani kama nyumbani kumepoa’.
Wednesday, February 3, 2016
Wasomi, wanasiasa na wadau mbalimbali wametoa maoni kuhusu mgongano wa mawazo juu ya Rais John Magufuli kutosafiri nje ya nchi hadi sasa, huku wengi wakishauri Watanzania kutoingilia staili ya utendaji ya Rais.Akitoa maoni yake, Mhadhiri wa Uchumi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Haji Semboja alisema si sahihi sana kusema Rais hataki kusafiri, au hataki watendaji wa serikali kusafiri nje kwa masuala ya msingi. “Ifahamike kwamba Rais ameingia madarakani wakati nchi imeingia katika kipindi cha pili cha utekelezaji wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2015/2016.Kwa hiyo kitu alichokifanya mara tu baada ya kuingia ni kutangaza kubana matumizi katika baadhi ya maeneo. “Eneo mojawapo ambalo Rais alitangaza kubana matumizi ni katika suala hili la safari zisizo za muhimu, na tuliona aliweza hata kubadilisha staili ya sherehe ya Uhuru ya mwaka jana na hata maeneo ya kufanyia mikutano kwa kuamuru ifanyike katika maeneo ya kazi.“Hii ilikuwa ni kama kusema Watanzania tujifunge mkanda ili kuweza kukusanya fedha na kuongeza uwezo wa serikali kiuchumi ili katika mwaka ujao, fedha ziweze kutengenezewa utaratibu mzuri zaidi wa matumizi. Naamini baada ya kuwepo kwa utaratibu mzuri hali haitakuwa kama ilivyo sasa,” alisema Profesa Semboja. Katibu Mkuu wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusufu Makamba alisema; “Kila mtu ana staili yake ya kazi.Rais ana staili yake ya kufanya kazi. Watu wanataka aache staili yake ili afuate staili ya nani? “Wanataka Rais aanze kusafiri nje ya nchi kwani kwa kutokwenda huko kimeharibika nini? Wasambaa wana msemo kwamba ‘Unakwenda shambani kama nyumbani kumepoa’.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
UFUSKA...@@PICHA 6 ZA MREMBO AKILAMBA MKUNDU WA MWENZAKE BILA AIBU MBELE ZA WATU ..ANGALIA HAPA... peruztz.blogspot.c...
-
Chombezo: MPANGAJI Sehemu: 14 Mtunzi: Frank Masai Simu: 0717 738973 ILIPOISHIA... “Huyu ni mgeni,ni mdogo wake George,katoka Dar. Kafika ha...

No comments:
Post a Comment