Wednesday, February 3, 2016
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Damian Lubuva, kuwa mkweli na kuacha kuudanganya umma juu ya kuingiliwa kwa tume wakati wa Uchaguzi Mkuu. Taarifa ya chama hicho kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana jijini Dar es Salaam na Meneja Mawasiliano, Tumaini Makene, imeeleza kuwa kuingiliwa kwa tume siyo lazima kuwapo maelekezo maalum yanayotolewa wazi na kwamba hata kunyimwa bajeti ambayo imepitishwa na Bunge na kuchelewesha utekelezaji wa majukumu ikiwamo vifaa vya BVR ni mojawapo ya dalili za wazi kuwa tume haiko huru.Alibainisha sifa nyingine kuwa ni kubadilishwa kwa watendaji wa tume katikati ya mchakato wa uchaguzi, kwani wengi walibadilishwa mwezi mmoja kabla ya uchaguzi kinyume cha kanuni za maadili ya uchaguzi. “Hadi leo Nec imeshindwa kutoa sababu zozote za maana kuhalalisha uteuzi huo ambao uliwaondoa watumishi waliokuwapo na kuwekwa watu waliodaiwa kutoka vyombo vya dola,” alisema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
UFUSKA...@@PICHA 6 ZA MREMBO AKILAMBA MKUNDU WA MWENZAKE BILA AIBU MBELE ZA WATU ..ANGALIA HAPA... peruztz.blogspot.c...
-
Chombezo: MPANGAJI Sehemu: 14 Mtunzi: Frank Masai Simu: 0717 738973 ILIPOISHIA... “Huyu ni mgeni,ni mdogo wake George,katoka Dar. Kafika ha...
No comments:
Post a Comment