Saturday, July 21, 2018

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameitaka jamii ya kitanzania hususani waandishi wa habari kuacha kufuatilia tukio la kupotea mbwa wa Jeshi la Polisi anayejulikana kwa jina la Hobby, kwa kuwa jambo hilo kwa sasa lipo chini ya uchunguzi. Waziri Lugola ametoa kauli hiyo leo Julai 21, 2018 wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake katika vyombo vya Ulinzi ambavyo vipo chini ya Wizara yake na kubaini changamo... Tazama Zaidi Picha ya Breaking News Kiswahili

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameitaka jamii ya kitanzania hususani waandishi wa habari kuacha kufuatilia tukio la kupotea mbwa wa Jeshi la Polisi anayejulikana kwa jina la Hobby, kwa kuwa jambo hilo kwa sasa lipo chini ya uchunguzi.
Waziri Lugola ametoa kauli hiyo leo Julai 21, 2018 wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza ziara yake katika vyombo vya Ulinzi ambavyo vipo chini ya Wizara yake na kubaini changamo...
Tazama Zaidi

MAANDALIZI YA KIPINDI NA UJIO MPYA SOON ON TV YAKO JE UNADHANI NI KIPINDI GANI UNAWEZA TUMA JINA LA KIPINDI UNACHOHISI NA KUJINYAKULIA ZAWADI NONO KABISAAA

MAANDALIZI YA KIPINDI NA UJIO MPYA SOON ON TV YAKO JE UNADHANI NI KIPINDI GANI UNAWEZA TUMA JINA LA KIPINDI UNACHOHISI NA KUJINYAKULIA ZAWADI NONO KABISAAA

Friday, July 20, 2018

Moto Serengeti: Tanzania yakanusha madai ya kuwazuia nyumbu kwenda Maasai Mara nchini Kenya

Moto Serengeti: Tanzania yakanusha madai ya kuwazuia nyumbu kwenda Maasai Mara nchini KenyaSerikali ya Tanzania imesema uchomaji moto kwenye hifadhi ni jambo la kawaida

Serikali ya Tanzania imekanusha taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari kuwa mamlaka za hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania zimefanya hujuma kuchoma moto eneo la hifadhi ili kuzuia nyumbu kuvuka kuelekea nchini Kenya.
Msemaji wa Wizara ya mali asili na utalii, Dorina Makaya amesema madai haya ''si ya kweli'' kinachoendelea ni uchomaji wa kawaida wa awali ambao unaoendelea kwa awamu, linalofanywa lina lengo kuzuia majanga ya moto kutoka nje ya hifadhi ambayo yanaweza kufikia ndani ya hifadhi.
Dorina amesema uchomaji wa moto unaofanyika hufanyika kitaalamu ili kuwezesha kuota kwa majani mapya kwa ajili ya malisho yao, pia kupunguza majani mengi ambayo huwafanya watalii kutoona vizuri wanapofika kutembelea hifadi ya Serengeti.
Pia inasaidia kuua wadudu mbalimbali kama Mbung'o na wadudu wanaoshambulia wanyama.
Msemaji wa wizara hiyo amesema hakuna uthibitisho wa Kisayansi kuwa kuchoma majani kunazuia Nyumbu kushindwa kwenda Masai Mara.
''Safari ya Nyumbu ni utaratibu wao wa asili , sababu pekee inayoweza kusababisha kuchelewa kwa Nyumbu kwenda Kenya inawezekana ni kutokana na mvua upatikanaji wa maji ya kutosha huwafanya kuendelea kubaki palepale kwa sababu wanapata maji ya kutosha''.

Maasai Mara Agosti 15, 2008
Kwa kuwa Tanzania imepata mvua kwa kipindi kirefu hivyo inawezekana kabisa kuwa Nyumbu wanaweza kuchelewa kuhamia Kenya msimu huu," alieleza Dorina.
''Zoezi la uchomaji majani kwenye hifadhi ni la kawaida ambalo hufanyika Tanzania lakini pia hata Maasai Mara hufanyika hayo pia''.
Serengeti
Taarifa zilisema kuwa moto huo uliodaiwa kuwa mkubwa ulielezwa kuwa uliwaka kwa takriban juma moja, umezuia mamia ya Nyumbu kutoka Serengeti kuvuka mto na kuingia Kenya.
''Mamia ya ekari katika eneo hilo la hifadhi lililo Kaskazini mwa Tanzania bado yanateketea kwa moto na kuwazuia Nyumbu hao kuvuka'' Ilieleza sehemu ya taarifa .
Askari wa nyama pori na Hifadhi ya taifa ya Tanzania( TANAPA) wamenyooshewa kidole, wakishutumiwa kuwasha moto katika hifadhi ya Serengeti ili wanyama wasifike katika hifadhi ya Masai Mara, inayopakana nayo.https://safinamiutamu.blogspot.com/

safina films kuja kivingine

mungu ni mwema safari bado inaendelea unakaribishwa wewe mwenye kazi yako unaitaji kupatiwa huduma ya uandaaji wa music video au filamu basi jibu ni l safina films company ltd wasiliana nasi kwa namba 0714231828 au fika ofisini kwetu mwananyamala coma coma jijini dar es salaam


PESA YAIMBA WIMBO