Monday, November 30, 2015

Muheshimiwa Rais....kweli HAPA KAZI TU... Naridhika!...😊Nakusihi,endelea na moyo huo huo wa kutusaidia ss Watanzania..u mtu mwema sana!!!
(Sorry hapa siasa haihusiki..nimetoa yaliyopo machoni mwangu..)

Hebu Jionee Tukio Hili La Picha Za Zilipendwa Aisee Kmbe Watu Hawajakutanaga Barabarani Tu Watu Wame

Hebu Jionee Tukio Hili La Picha Za Zilipendwa Aisee Kmbe Watu Hawajakutanaga Barabarani Tu Watu Wametoka Mbali Picha 4 Hizi Humu=> 
Hebu Jionee Tukio Hili La Picha Za Zilipendwa Aisee Kmbe Watu Hawajakutanaga Barabarani Tu Watu Wamehttp://safinamiutamu.blogspot.com/


SHOCKING SANAA!! UKIONA HUYU MTOTO ANACHOFANYA. UTAZIMIAAA HUYU MTOTO ANAMAAJABU, UKIONA ALICHOKUWA ANAMFANYA HUYU CHATU, UTAOGOPA...NI MAAJABU KWA MTOTO KAMA HUYU KUFANYA HIVI...KAMA SIO MWOGA, INGIA HAPA UJIONEE....UUUUUH>>>

RAIS WA TANZANIA DK MAGUFULI AWEKA REKODI YA BARAZA LA MAWAZIRI |.

RAIS WA TANZANIA DK MAGUFULI AWEKA REKODI YA BARAZA LA MAWAZIRI |...http://safinamiutamu.blogspot.com/

Ben Pol Kaanza Kufanya Madudu Ka Ya Shilole Stejini, Ni Ujinga Gani Huu Anafanya? Cheki Picha 4 Hapa

Ben Pol Kaanza Kufanya Madudu Ka Ya Shilole Stejini, Ni Ujinga Gani Huu Anafanya? Cheki Picha 4 Hapa ==>

Ben Pol Kaanza Kufanya Madudu Ka Ya Shilole Stejini, Ni Ujinga Gani Huu Anafanya? Cheki Picha 4 Hapa

Ben Pol Kaanza Kufanya Madudu Ka Ya Shilole Stejini, Ni Ujinga Gani Huu Anafanya? Cheki Picha 4 Hapa ==> 
Ben Pol Kaanza Kufanya Madudu Ka Ya Shilole Stejini, Ni Ujinga Gani Huu Anafanya? Cheki Picha 4 Hapahttp://safinamiutamu.blogspot.com/


90% Hamwajawahi Kuziona Hizi. Kutana Na Picha Za Wema Kipindi Mshamba Hata Kuvaa Hajui Vizuri Wala W

90% Hamwajawahi Kuziona Hizi. Kutana Na Picha Za Wema Kipindi Mshamba Hata Kuvaa Hajui Vizuri Wala Wowowo Bado Halijakuja Katika Mwili Wake, Tazama Picha Hizo Hapa==>>

ONA HII VIDEO YA JOTI NA MPOKI WAKIVUNJA MBAVU BALAAH.. | safina miutamu blog s


Friday, November 27, 2015

Team swahili pangeni foleni kabla sijariadhisha... 1... 2...

‪#‎Habari‬:Rais John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi kamishna wa mamlaka ya mapato TRA Bw.Rished Bade na kumteua Bw.Philiph Mpango kukaimu nafasi hiyo. Taarifa kutoka ikulu zimesema kuwa uamuzi huo wa rais Magufuli umefuatia ziara ya waziri mkuu bandarini uliobaini upotevu wa makontena 349. Aidha rais Magufuli amemtaka Rished Bade kutoa ushirikiano kwa Philiph Mpango wakati uchunguzi 1 hr ·



‪#‎Habari‬:Rais John Pombe Magufuli amemsimamisha kazi kamishna wa mamlaka ya mapato TRA Bw.Rished Bade na kumteua Bw.Philiph Mpango kukaimu nafasi hiyo.
Taarifa kutoka ikulu zimesema kuwa uamuzi huo wa rais Magufuli umefuatia ziara ya waziri mkuu bandarini uliobaini upotevu wa makontena 349.
Aidha rais Magufuli amemtaka Rished Bade kutoa ushirikiano kwa Philiph Mpango wakati uchunguzi ukiendelea.
ITV Tanzania's photo.
.

Wednesday, November 25, 2015

Kama bongo tungeweza kufanya mekap hii kwenye move akika tungetisha sana.tafadhali tizama hii ya wenzetu.unaweza jua kweli.share na wengine waone

Mambo yalivyo uwanja wa Chuo Kikuu cha Nairobi ambako Papa Francis ataongoza ibada ya misa kesho.

12k Views

MUNGU WANGUUU!!! MWISHO WA DUNIA!!

MUNGU WANGUUU!!! MWISHO WA DUNIA!!
KIJANA WA KIUME RAIA WA TANZANIA AMBAYE INASEMEKANA NI MKAZI WA ARUSHA AMEOLEWA NA MWANAUME MWENZI HUKO AUSTRALIA!! KWELI HII LAANA !! MNGU TUSAIDIE!! PICHANI AKIVISHWA PETE NA KUPIGWA DENDA LIVE!!
UNA NENO GANI LA KUMWAMBIA?
>>>LIKE PAGE HII KISHA SHARE HABARI HII KWA MARAFIKI ZAKO KAMA UPO ONLINE MUDA HUU NAO WAJIONEE MAJANGA HAYA!!

aji mkuu wa Tanzania Othuman Chande amewataka waandishi wa habari nchini hasa za mahakama kutokuingilia utendaji haki badala yake wazingatie sheria, kanuni na maadili ya kazi za Mahakamani.->http://bit.ly/1NsTlK4

Mahakama kuu kanda ya Mwanza leo imesikiliza kesi ya msingi iliyofunguliwa na familia ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) marehemu Alphonce Mawazo ambapo upande wa jamhuri umesema mahakamani hapo kuwa haupingi mwili wa kiongozi huyo kuagwa jijini Mwanza.->http://bit.ly/1POGnGW

Watumiaji wa vivuko vya Kigamboni jijini Dar es Salaam vilivyopo chini ya wakala wa umeme na ufundi Tanzania-TAMESA hususani wenye magari leo wamekwama kwa zaidi ya saa 2 wakisubiri kivuko jambo ambalo wamelalamikia kuwa limeendelea kuwa kero kubwa na hivyo kuiomba serikali ya awamu ya tano kuhakikisha wanashughulikia kero hiyo kwa kasi kubwa.

bari‬ Manispaa ya Kinondoni imefanya msako maalum wa kuwakamata wale wote wanaoendesha bishara ya baa kwa kufungulia sauti kubwa ya muziki hivyo kusababisha kero na usumbufu kwa watu wanaoishi jirani na baa hizo.

Manispaa ya Kinondoni imefanya msako maalum wa kuwakamata wale wote wanaoendesha biashara ya baa kwa kufungulia sauti kubwa ya muziki hivyo kusababisha kero na usumbufu kwa watu wanaoishi jirani na baa hizo.

Jumuiya ya kimataifa inayojishughulisha na ufuatiliaji wa masuala ya unyanyasaji wa kijinsia hapa nchini imeeleza kutoridhishwa na kiwango cha vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kuwa vinapitiliza kile kinachotambulika kimataifa na kutaka jitihada zaidi kulenga vyanzo vya vitendo hivyo.

1.2k Views

mani nyimbo ya dimanche ku conférence iyo. Rey Ray B Fifina Alicia Regina Ndeko, Zinta Georline AG


0:34/0:34

Tabasamu na ufurahi kisha ushukuru mungu kwa kwa kile anachoendelea kukupa iwe kikubwa au kidogo kwani kuna wengine hawana kabisa na hawajui watapata wapi Alhamdulillah Dont 4get to pray

Tabasamu na ufurahi kisha ushukuru mungu kwa kwa kile anachoendelea kukupa iwe kikubwa au kidogo kwani kuna wengine hawana kabisa na hawajui watapata wapi
Alhamdulillah
Dont 4get to pray

PESA YAIMBA WIMBO