Thursday, March 29, 2018
Watu watano wamepoteza maisha katika ajali iliyotokea leo March 29, 2018
jioni katika maeneo ya Kasharazi ulipo Mlima wa K9 {K’nine} mkoani
Kagera baada ya gari lililokuwa likisafirisha wakimbizi kutoka Kigoma
kuelekea Burundi kugongana na gari lingine na kusababisha vifo vya watu
hao.
Kamanda wa Polisi Kagera Augustine Ollom amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na amesema yapo magari mawili yaliyokuwa yakiwasafirisha wakimbizi kurudi nchini kwao, yalipata ajali baada ya Bus moja kugonga lingine na kusababisha vifo vya watu watano na majeruhi.
Ameyataja magari hayo kuwa lipo gari lenye namba za usajili T331 DFV aina ya YUTONG liligonga Bus T765 DLD aina ya TATA ambapo lilipoteza uelekeo na kumgonga mwendesha Baiskeli na akafariki palepale, kati ya hao wengine waliopoteza maisha ambao majina yao bado hayajatambulika wapo wakiume wawili na wa kike wawili.

HABARI. WADAU napenda kuwakumbusha na kuwasisitizia kuwa hili group ni
group la michezo na burudani. hivyo mambo ya siasa na dini si mahala
pake hapa. utumaji wa picha na video za utupu, lugha za matusi pia
haziruhusiwi humu. Ushauri wetu ni kwamba tuzingatie sheria za nchi,
tuzingatie maadili ya mtanzania & tuzingatie sheria za group.
ukikiuka haya hatua kali zitachukuliwa juu yako. asanten mpaka wakati
huu wenzetu kadhaa tumesha watoa kwa kutokuzingatia nidhamu humu
kundini. pia tunataka kuboresha kundi kwa kuandaa tuzo za mwezi kwa
categori mbalimbali tuendelee kuheshimiana na kuthaminiana tukifurahia
michezo. asante sana
http://safinamiutamu.blogspot.com/
http://safinamiutamu.blogspot.com/
Thursday, March 1, 2018
Subscribe to:
Comments (Atom)
-
UFUSKA...@@PICHA 6 ZA MREMBO AKILAMBA MKUNDU WA MWENZAKE BILA AIBU MBELE ZA WATU ..ANGALIA HAPA... peruztz.blogspot.c...
-
Chombezo: MPANGAJI Sehemu: 14 Mtunzi: Frank Masai Simu: 0717 738973 ILIPOISHIA... “Huyu ni mgeni,ni mdogo wake George,katoka Dar. Kafika ha...