Wednesday, February 3, 2016
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo amesema wafanyabiashara watakaokaidi kufanya usafi kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi watapigwa faini ya Sh 50,000 papo kwa hapo. Aliyasema hayo mjini Kibaha mara baada ya kumaliza kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Kibaha wakati wa kutekeleza agizo la Rais Dk John Magufuli la kila mkoa kufanya usafi kila mwezi.Alitoa kauli hiyo kufuatia baadhi ya wafanyabiashara kufungua biashara zao na kutofanya usafi licha ya kutangaziwa kuwa wanapaswa kufunga biashara zao kwa saa kadhaa kwa ajili ya kufanya usafi wa maeneo yao. “Inashangaza kuona baadhi ya watu wanakaidi agizo la viongozi wao kwa kutofanya usafi wa maeneo yao huku wakiendelea kufanya biashara kwenye mazingira machafu,” alisema Ndikilo. Alisema usafi ni suala la kila mtu na si kwa baadhi ya watu, hivyo kila mkazi na mfanyabiashara wa Pwani anapaswa kutenga muda kwa ajili ya usafi wa mazingira.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
UFUSKA...@@PICHA 6 ZA MREMBO AKILAMBA MKUNDU WA MWENZAKE BILA AIBU MBELE ZA WATU ..ANGALIA HAPA... peruztz.blogspot.c...
-
Chombezo: MPANGAJI Sehemu: 14 Mtunzi: Frank Masai Simu: 0717 738973 ILIPOISHIA... “Huyu ni mgeni,ni mdogo wake George,katoka Dar. Kafika ha...
No comments:
Post a Comment