Wednesday, December 9, 2015

‪#‎Habari‬ Majambazi wamevamia na kupora pesa CRDB na DCB Bank Chanika na kuua kwa risasi watu 2 na kujeruhi baadhi ya wafanyakazi. kwa taarifa zaidi endelea kutufatilia taarifa zetu

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO