Wednesday, December 9, 2015

‪#‎USAFI‬:Agizo la rais Dk.John Magufuli kutaka siku ya Uhuru Disemba 9 kuwa siku ya usafi limepata mwitikio ambapo Kamishina wa Polisi, ACP Suleiman Kova amewaongoza askari wake kufanya usafi katika kambi kuu ya Polisi Kilwa Road jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO