Wednesday, December 9, 2015

Zaidi ya wananchi 300 wamekosa mahali pakuishi baaada ya kundi kubwa la mabaunsa pamoja na wamasai kuvamia makazi yao na kuvunja nyumba 55 zilizojengwa katika eneo la Kingazi "A" jijini Dar es Salaam ambapo wanachi hao wanadai kuna mwekezaji ambaye anadai yeye ndiye mmiliki wa eneo hilo.

Maoni elfu 2.5

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO