Saturday, January 16, 2016

‪#‎Habari‬

‪#‎Habari‬http://safinamiutamu.blogspot.com/:Jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni linawashikilia vijana watatu kwa tuhuma za kukutwa na vitu vinavyohisiwa kuwa ni milipuko katika karakana ya kampuni ya Majembe Auction Mart iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO