Saturday, January 16, 2016

‪#‎Habar

‪#‎Habari‬http://safinamiutamu.blogspot.com/:Serikali imeuagiza uongozi wa mkoa wa Mtwara kuhakikisha kwamba inawaodoa watu wote wanaoishi katika magofu ya kale ya mji wa Mikindani ambayo yanaonekana kuwa ni hatarishi kwa maisha yao na kuwachukulia hatua za kisheria wale wote ambao wamekaidi maagizo ya serikali ya kuhifadhi maeneo ya kale hususani kuendesha ujenzi bila vibari halali ndani ya mji huo.->http://bit.ly/1nq68BR

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO