Saturday, January 16, 2016

#‎Habar

#‎Habari‬:Kwa mara ya kwanza tangu kuanza mfumo wa vyama vingi halmashauri za Kinondoni na Ilala jijini Dar es Salaam zinaongozwa na vyama vya upinzani chini ya mwavuli wa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya wagombea wa CCM kwenye uchaguzi wa Meya na manaibu Meya .

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO