Wednesday, December 9, 2015

‪#‎USAFI‬:Hali ya utekelezwaji wa agizo la rais wa Tanzania John Pombe Magufuli la kufanya usafi siku y

‪#‎USAFI‬:Hali ya utekelezwaji wa agizo la rais wa Tanzania John Pombe Magufuli la kufanya usafi siku ya Disemba 9 leo kwaajili ya kukabiliana na magonjwa ya mlipuka kama kipindupindu hatimaye limeanza kutekelezwa kwa vitendo ambapo ITV imeshuhudia usafi ukifanywa na kuchomwa kwa taka ngumu ambazo nazo zimekuwa zikisababisha jiji kuwa chafu.
Leo ni siku ya kihistoria kwa taifa tofauti na ilivyokuwa imezoeleka kwamba siku ya maadhimisho ya Uhuru wa Tanzania watu kuelekea viwanja vya Uhuru kuungana na wengine kuadhimisha siku hii ambapo leo ni miaka 54 tangu uhuru kupatikana,lakini leo watu wanafanya usafi kuboresha mazingira ikielezwa ni UHURU na KAZI,ikienda sambamba na kaulimbiu ya Hapa Kazi Tu.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO