Wednesday, December 9, 2015

#‎USAF

#‎USAFI‬http://safinamiutamu.blogspot.com/:Waziri mkuu wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa aungana na watanzania kufanya usafi ambapo wakati akiwa Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam amewashinikiza watanzania kujitokeza kwa wingi kufanya usafi leo hii ili kuweka mazingira safi.
Wananchi walioungana kufanya usafi wamesema wanashukuru kuona hali hii ikiwa ni mara ya kwanza kwani wanaimani na Rais Dk.John Magufuli kuwa ataifanya Tanzania kuwa na muonekano mpya kwa kuanzia usafi na mambo mengine huku wakimpongeza pia waziri mkuu Mh.Majaliwa kuungana nao kufanya usafi.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO