#TAHADHARIhttp://safinamiutamu.blogspot.com/:Kumekuwepo wa taarifa za upotoshwaji kupitia mitandao ya kijamii na kuihusisha ITV, tunaomba taarifa hizo zipuuzwe kwa kuwa taarifa hizo si kweli. Taarifa zetu zinakuwa na vyanzo vya kuaminika, ITV haihusiki kwa namna yeyote na taarifa hii. Tunaomba Watanzania wawe makini na Mitandao feki inayozusha matukio na kutoa taarifa zisizo za kweli. Tunaomba vyombo husika kuendelea kuwafuatilia na kuwabaini na kuwaweka hadharani watu kama hawa.

No comments:
Post a Comment