Wednesday, December 9, 2015

Habari‬:Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh.SAID MECK SADIQ amewapongeza watanzania kujitokeza kufanya usafi katika siku ya maadhimisho ya Uhuru ambapo leo ni miaka 54 tangu nchi

Habari‬:Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh.SAID MECK SADIQ amewapongeza watanzania kujitokeza kufanya usafi katika siku ya maadhimisho ya Uhuru ambapo leo ni miaka 54 tangu nchi kupata uhuru wake na kusema kufanya hivyo kutasaidia kufanya mazingira ya jiji kuwa safi na kuepukana na maradhi mbalimbali.
Ameyasema hayo wakati wa zoezi la upuliziaji dawa katika magari ya abiria kwenye kituo cha mabasi yaendayo mikoani ubungo ili kuuwa wadudu kwa ushirikiano mzuri na jeshi la polisi na amewasihi wadau wa usafiri kufanya zoezi hilo kila mara na isiwe leo tu ili kuwanusuru abiria na magonjwa ya mlipuko.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO