Sunday, December 6, 2015

Siku moja baada ya rais Dkt John Magufuli kutoa siku saba kwa makampuni yaliyohusika na ukwepaji wa kodi yajitokeze kulipa kodi tayari makampuni manne kati ya 43 yamelipa shilingi bilioni 5.23 kati ya bilioni 12.6 zinazodaiwa kwa makontena 329 yalioondolewa kinyume cha utaratibu katika bandari kavu ya Azam.

26k Views

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO