Wednesday, December 2, 2015

‪#‎Habari‬:Watu kumina mbili wamepoteza maisha na majeruhi kumina nane wamelazwa katika hospitali ya wilaya ya iramba,baada ya basi la TAKBIR walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Geita kugongana na malori mawili katika kijiji cha Kizonzo mpakani mwa wilaya ya Igunga

‪#‎Habari‬:Watu kumina mbili wamepoteza maisha na majeruhi kumina nane wamelazwa katika hospitali ya wilaya ya iramba,baada ya basi la TAKBIR walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Geita kugongana na malori mawili katika kijiji cha Kizonzo mpakani mwa wilaya ya Igunga na Iramba mkoani Singida.
Mganga wa wilaya ya iramba daktali Timoth Sumbe amesema wamepokea maiti kumi na mbili kati ya hizo wamo wanawake watatu,wanaume sita na watoto wa tatu huku majeruhi kumina nane wakiendelea kupatiwa matibabu ambao wengi wao wamevunjika miguu , mikono na majeraha usoni.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO