Wednesday, December 2, 2015

‪#‎Habari‬:Katibu Mkuu Wizara ya Afya na ustawi wa jamii Dk. Donan Mbando amezindua duka kubwa la dawa la mfano na la kwanza kuzinduliwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mh. Rais.John Pombe Magufuli kutaka hospitali zote nchini ziwe zinatoa dawa kwa bei nafuu.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO