Friday, November 20, 2015

RIDAY NIGHT LIVE (4:05 Usiku) USIKU WA MA 'EXCLUSIVES'

Leo wasanii wakubwa wana drop video zao kaa tayari kwa hilo, pia tuna ujio mkubwa kutoka mamtoni mrembo mmoja mkali, surprises nyingi sana yani leo ni bandika bandua usikae mbali na Runinga yako.
Swali la kizushi je ni vizuri kushika simu ya mpenzi wako?
Pia usisahau kuuliza maswali kwa wageni wetu studio na uchague nyimbo uzipendazo

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO