Friday, November 20, 2015

‪#‎HOTMIX‬ (12:00 Jioni) MAGUFULI AZINDUA BUNGE KWA KISHINDO

Rais John Magufuli leo amelihutubia bunge kwa mara ya kwanza na kulizindua rasmi licha ya wabunge wa vyama vya UKAWA kutolewa bungeni kwa agizo la Spika kwa madai ya kufanya fujo.
Katika hotuba yake Rais Magufuli amesisitiza agizo lake la kufuta safari za nje ambazo kwa mwaka 2013/14 amesema kuwa ziliigharimu serikali zaidi ya bilioni 300.
Tazama HOT MIX sasa kuyapata kwa kina yaliyojiri bungeni leo na utoe maoni yako hapa kuhusiana na hayo.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO