Ukimtazama mtoto huyu ambaye ana uzito wa kilo 12.5 ngozi yake imekunjamana huku akiwa na kichwa kikubwa ni tofauti kabisa na ukubwa wa mwili wake.
Nihal akipimwa uzito na mdogo wake Sonu
Mtoto huyo anaishi Mumbai China na anatatizo ambalo kitaalam linajulikana kama Hutchinson- Gilford Progeria Sydrome ‘HGPS’ ambalo linasababisha akue kwa kasi zaidi ya mara nane kuliko ukuaji wa kawaida wa mwanadamu.
Wataalam India wamesema tatizo hilo ambalo kitaalam linaitwa Progeria huathiri mtoto mmoja kwa kila watoto milioni 20 wanaozaliwa.
Tatizo la mtoto huyo lilianza alipotimiza miezi 18 tangu alipozaliwa ndipo wazazi wake wakagundua mabadiliko aliyokuwa akiyapata ndani ya mwili wake na walidhani ni tatizo la ugonjwa wa ngozi lakini kadri siku zilivyokuwa
wakagundua ana tatizo la ukuaji wa cell katika mwili wake.
No comments:
Post a Comment