Nihal Bitla ana miaka 14 tu lakini ukipata nafasi ya kuonana naye ngozi yake inaonekana kama ya mzee mwenye zaidi ya miaka 70.
Ukimtazama mtoto huyu ambaye ana uzito wa kilo 12.5 ngozi yake imekunjamana huku akiwa na kichwa kikubwa ni tofauti kabisa na ukubwa wa mwili wake.
Nihal akipimwa uzito na mdogo wake Sonu
Mtoto huyo anaishi Mumbai China na anatatizo ambalo kitaalam linajulikana kama Hutchinson- Gilford Progeria Sydrome ‘HGPS’ ambalo linasababisha akue kwa kasi zaidi y...
See MoreUkimtazama mtoto huyu ambaye ana uzito wa kilo 12.5 ngozi yake imekunjamana huku akiwa na kichwa kikubwa ni tofauti kabisa na ukubwa wa mwili wake.
Nihal akipimwa uzito na mdogo wake Sonu
Mtoto huyo anaishi Mumbai China na anatatizo ambalo kitaalam linajulikana kama Hutchinson- Gilford Progeria Sydrome ‘HGPS’ ambalo linasababisha akue kwa kasi zaidi y...

No comments:
Post a Comment