Friday, November 20, 2015

#‎Habari‬:Katika kuelekea tamasha la siku kuu za mwisho wa mwaka na mwaka mpya Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini SUMATRA imekitaka Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania TABOA kuhakikisha madereva wao wanakuwa waangalifu.
Tahadhari hiyo imetolewa na Mratibu wa SUMATRA wa Huduma za Wateja Bwana OSCAR KIKOYO ambaye pia amewataka watu wasinunue tiketi nje ya ofisi za mabasi husika au mawakala wao kitendo ambacho mara kwa mara kimekuwa kunawaletea usumbufu.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO