#Habari:Wananchi wametakiwa kufuata taratibu za ujenzi katika maeneo yaliyopimwa viwanja na kuacha kuvamia maeneo ya wazi na hatimaye kubomolewa nyumba zao na majengo yao mengine katika maeneo hayo ya uwazi ambayo hayajapimwa.
Changamoto hiyo imetolewa na Mhandisi wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Bwana BARAKA MSUYA wakati akielezea oparesheni ya bomo a bomoa inayoendelea sasa katika manispaa yake.
Changamoto hiyo imetolewa na Mhandisi wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Bwana BARAKA MSUYA wakati akielezea oparesheni ya bomo a bomoa inayoendelea sasa katika manispaa yake.

No comments:
Post a Comment