Friday, November 20, 2015

Rais wa Tanzania awaonya wafanyakazi wazembe

MATUKIO YA AFRIKA

Rais wa Tanzania awaonya wafanyakazi wazembe

Rais wa Tanzania, Jhttp://safinamiutamu.blogspot.com/ohn Magufuli, ametoa hotuba yake ya kwanza bungeni Dodoma na kuelezea mipango yake ya uongozi. Wakati huo huo upinzani unataka upatikane ufumbuzi wa mchakato wa uchaguzi Zanzibar.
 
Sikiliza sauti02:38

Sikiliza ripoti ya Hawa Bihoga kutoka Dodoma

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO