Wednesday, November 25, 2015

Watumiaji wa vivuko vya Kigamboni jijini Dar es Salaam vilivyopo chini ya wakala wa umeme na ufundi Tanzania-TAMESA hususani wenye magari leo wamekwama kwa zaidi ya saa 2 wakisubiri kivuko jambo ambalo wamelalamikia kuwa limeendelea kuwa kero kubwa na hivyo kuiomba serikali ya awamu ya tano kuhakikisha wanashughulikia kero hiyo kwa kasi kubwa.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO