Wednesday, November 25, 2015

Jumuiya ya kimataifa inayojishughulisha na ufuatiliaji wa masuala ya unyanyasaji wa kijinsia hapa nchini imeeleza kutoridhishwa na kiwango cha vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kuwa vinapitiliza kile kinachotambulika kimataifa na kutaka jitihada zaidi kulenga vyanzo vya vitendo hivyo.

1.2k Views

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO