Wednesday, November 25, 2015

Mahakama kuu kanda ya Mwanza leo imesikiliza kesi ya msingi iliyofunguliwa na familia ya aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) marehemu Alphonce Mawazo ambapo upande wa jamhuri umesema mahakamani hapo kuwa haupingi mwili wa kiongozi huyo kuagwa jijini Mwanza.->http://bit.ly/1POGnGW

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO