Thursday, December 4, 2014

yuko wapi rafiki?

ILIPOISHIA SEHEM 4 nilimuuliza shangaz kwanini machoyako yanatowa machoz alishituka na (endelea sehem(5) kupangusa machoz kisha nilishuhudia ajari ya bus na fuso iliyogharim maisha ya watu wakiwemo watoto ilinijia picha nikajikuta natowa choz pole shangaz kaz yamungu piya madeleva niwazembe sana baaziyao, nikarizika na jibu lake ingawa ktk macho nilihis kaongopa nilimtupia swali dada tunyi dada, nini sababu ad nikawa hospital docta kasema ni malalia adiukapoteza faham nikashangaa! kwanini ajibu kwa halaka huku akiwasiliana na dada kwa macho!? maisha yakaendelea shangaz aliondoka, baada ya wiki1 siku moja ya jmos nikiwa matembezini na rafikiangu kibungo tukaamuwa kupumzika ktk mgahawa pale mwenge, tukaagiza vinywaji joy samahani wapelekee walewakaka juis ya azam yabox kubwa nasambusa4 baada ya kuhudumiwa,nafunguwa ilejuis mala akaja jamaa akiwa na mdada wakakaa mezayajilaniyetu nikawatupia macho maana waswahili tunakawaida yakuchunguzana, macho yakakutana waaooooo lax? he!! docta josephat (itaendelea

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO