kama
hukujua nakujuza ukishindwa kujua basi jitahidi utambue ukishindwa
utakua hujiamini.Umewahi waza kwanini unaishi na tetemeko la nafsi?
kama umewahi na ukajiuliza ni jibu gani ulilipata?Unajua unaweza lia
machoni lakini moyoni ukacheka na unaweza cheka usoni na moyoni ukalia?
kwanini usitafute chanzo cha furaha yako? au kwanini usitafute chanzo
cha furaha ya mwenzio/mke/mume/rafiki na wengineo.Thamini tone moja la
chozi la mwenzio kuliko utakavothamini taswira ya tabasam...

No comments:
Post a Comment