Friday, December 5, 2014

Habari wadau, kila kukicha wasanii wa bongo fleva wanaongezeka lakini hakuna cha maana wanachoimba zaidi ya kukopiana nyimbo, hebu tujikumbushe nyimbo za Bongo Fleva zilizotamba kipindi hiko. Mimi za kwangu ni hizi, Kamanda ya Daz Nundaz, Mtazamo ya Afande,Lover boy- Chege, Salome ya Dully. Karibuni tuendelee wadau

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO