Thursday, March 29, 2018

HABARI. WADAU napenda kuwakumbusha na kuwasisitizia kuwa hili group ni group la michezo na burudani. hivyo mambo ya siasa na dini si mahala pake hapa. utumaji wa picha na video za utupu, lugha za matusi pia haziruhusiwi humu. Ushauri wetu ni kwamba tuzingatie sheria za nchi, tuzingatie maadili ya mtanzania & tuzingatie sheria za group. ukikiuka haya hatua kali zitachukuliwa juu yako. asanten mpaka wakati huu wenzetu kadhaa tumesha watoa kwa kutokuzingatia nidhamu humu kundini. pia tunataka kuboresha kundi kwa kuandaa tuzo za mwezi kwa categori mbalimbali tuendelee kuheshimiana na kuthaminiana tukifurahia michezo. asante sanaPicha ya Marko Mathiashttp://safinamiutamu.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO