Sunday, December 6, 2015

Nguvu kutoka pande mbili tofauti za kutana kwenye Coke Studio Africa ili kutupa Mash Up moja matata. Furahia Chekecha/Show ikiwa ni Mash Up ya Ali Kiba na Victoria, iliyoandaliwa na mshindi watuzo za Grammy, Owuor Arunga. Share habari hii na washkaji.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO