Wednesday, December 2, 2015

MAJINA SAHIHI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

‪#‎HABARI‬ MAJINA SAHIHI YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa anatumia majina matatu kama ifuatavyo: Kassim Majaliwa Majaliwa au Kassim M. Majaliwa.
Tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo, kumekuwa na uchanganyaji wa majina yake na hii ni kwa sababu tangu akiwa chuoni na jeshini, alikuwa akitanguliza kutaja ubini (jina la ukoo) na ndiyo maana ikawa inasomeka Majalihttp://safinamiutamu.blogspot.com/wa Kassim Majaliwa.
...See More

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO