Wednesday, December 2, 2015

‪#‎HOTMIX‬ (SAA 12:00) MADUKA BINAFSI YA DAWA RUKSA - SERIKALI.

‪#‎HOTMIX‬ (SAA 12:00) MADUKA BINAFSI YA DAWA RUKSA - SERIKALI.
Serikali imezindua duka la dawa linalomilhttp://safinamiutamu.blogspot.com/ikiwa na MSD katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili na itaendelea katika hospitali zote kubwa nchini, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Magufuli huku ikisema kuwa haina mpango wa kukataza maduka ya watu binafsi yanayouza dawa muhimu za binadamu kuendelea na biashara hiyo kwa mujibu wa sheria.
Je hatua hii itasaidia kupunguza tatizo la dawa katika hospitali za umma?

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO