Sunday, December 6, 2015

‪#‎Habari‬:Watanzania wametakiwa kutumia vyema hudum za vyma vya ushiriki ili kuweza kujikwamua kiuchumi badala ya kukimbilia kuchukua mikopo katika mabenki makubwa ambapo hubakia kutakiwa kulipwa riba kubwa na hivyo kujicheleweshe maendeleo yoa.

Hayo yamesemwa na kaimu naibu mkurugenzi anayeshughulikia usambazaji wa umeme kutoka shirika la umeme Tanesco Bi.Sophia Mgonja wakati wa mkutano wa mwaka wa chama cha kuweka na kukopa cha Tanesco.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO