Wednesday, December 2, 2015

#‎Habari‬:Uongozi wa wilaya ya kinondoni umesitisha shughuli za uzalishaji katika kiwanda cha urafiki baada ya viongozi wa kiwanda hicho kushindwa kuwalipa madai yao kama walivyokubaliana awali kuwa hadi Desemba 1 wangekuwa wameshalipwa.

0:10/1:10
390 Views

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO