Sunday, December 6, 2015

‪#‎Habari‬:Mamlaka ya udhibiti usafiri wa nchi kavu na majini ( SUMATRA ), imeendesha zoezi la ukaguzi la kupima ulevi kwa madereva wa mabasi ya abiria yaendayo mikoani na nchi jirani ya Uganda na kubaini kuwa kiwango cha ulevi miongoni mwa madereva hao kimeanza kupungua baada ya SUMATRA kwa kushirikiana na jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani kufanya ukaguzi wa mara kwa mara kwa madereva wasiozingatia sheria za usalama Barabarani.->http://bit.ly/1ILBozh

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO