Nilimpenda sana niliposikia tu ametangazwa na nilimpost siku ile ile alipotangazwa ukifatilia kumbukumbuku zangu za nyuma - lkn nakiri siku mpigia kura kwa kuwa sikua na imani na serekali iliopo madarakani lkn kwa alio ongea leo nakiri kuwa ni kiongozi ambae sijakosea kuwa na imani nae nzuri - Lkn pia sikujuta kumchagua lowasa kwa kua na amini ameongeza changamoto kubwa na kushtua viongozi kuwa inawezekana - na nchi ni ya wananchi na sio viongozi tu-! MAGUFULI NAKUKUBALI 👍GO BABA GO RAIS WANGU GO JEMBE LETU 💪 M.MUNGU AKUTANGULIE INSHAALLAH 🙏🙏🙏

No comments:
Post a Comment