Friday, November 20, 2015

KUMFUNGULIAWEMA SEPETU KESI DIAMOND NA KAJALA KUFUATIA SHERIA MPYA YA MAKOSA MTANDAONI.

KUMFUNGULIAWEMA SEPETU  KESI DIAMOND NA KAJALA KUFUATIA SHERIA MPYA YA MAKOSA MTANDAONI.
Msanii wa Filamu Tanzania na Aliekua Miss Tanzania (2006) Wema Abraham Sepetu amefungua jalada la kesi dhidi ya msanii Diamond Platnumz na Kajala Masanja kwa kosa la kumtukana kupitia mawasiliano ya WHATSAPP waliyokua wakichat Diamond Platnumz na Kajala Masanja na kesi imehusishwa katika makosa ya kimtandao kupitia ile sheria mpya ya Makosa mtandaoni.
Akizungumza live Wema Sepetu alisema kua "KWANZA NAISHUKURU KAMPUNI YA SIMNET TANZANIA KWA KUTENGENEZA HII APPLICATION IITWAYO SIMNET TANZANIA AMBAYO IMENISAIDIA KUBAINI MAWASILIANO HAYA YA SIRI YA DIAMOND NA MWENZAKE KAJALA. KWA WALE WASIO FAHAMU NI KWAMBA NILIINGIA KATIKA PLAYSTORE NA KUDOWNLOAD HII APPLICATION KATIKA SIMU YANGU YA ANDROID NA KUUNGANISHA NAMBA YA KAJALA NDIPO NIKAWA NAPATA MAWASILIANO YAO BILA WAO KUJUA KAMA KILA WANACHO WASILIANA MIMI NAKIPATA KUPITIA APPLICATION HII IITWAYO SIMNET TANZANIA. NASHUKURU NIMESHAPELEKA USHAHIDI MAHAKAMANI NA KESI IMEFUNGULIWA YA MAKOSA YA KIMTANDAO NA IPO KATIKA MAMLAKA YA VYOMBO VYA SHERIA." Hayo ndio aliyosema Wema Sepetu

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO