Friday, November 20, 2015

Emu fikria toka mwaka uanze january mpaka leo tumepoteza ndugu zetu wangap??tumepta mamb mangap?
magonjwa ajali vtu ving xna lkn stil tunahema mpaka leo 2015http://safinamiutamu.blogspot.com/,12 ni jambo kubwa na la kumxhukur mungu kufika apa.
Kwamm nauzunika xna kuwapoteza watu wang wa karbu pia waltaman kufika apa lkn haikuwezkana
Lkn ol n ol naxhukulu kufka apa leo ni kwa neema tu...nawatakia mmalzo mzur wa mwaka sir god atutangulie tumalize mwaka xalama...........
Im not where I need to be but thank god im not where I used to be....@lovenexx love.

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO