Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni
ilianguka!.. Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja
atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!.. Wakwanza alikuwa MUHINDI, wa pili MCHINA na MBONGO!...
MUHINDI: "ntajenga kwa milioni 90!.., 40 za vifaa, 40 za mafundi na milioni 10 faida yangu"
MCHINA: "mi ntajenga kwa milioni 70!.., 30 za vifaa, 30 za mafundi na milioni 10 faida yangu"
MBONGO kuona vile akamvuta chemba msimamizi wa Magogoni!..

No comments:
Post a Comment