wengi wakicheza kwa
pamoja.akaamua KUWADANGANYA kwa
kuwaambia kuwa kuna nyumba
moja hapo jirani wanapika pilau.
kusikia hivyo watoto wote
wakakimbilia katika
nyumba walio elekezwa na
yule kichaa.
kichaa akakaa na kufikiria
"Mmmh mbona wote
wamekimbilia
huko!!? inawezekana ni kweli
wanapika pilau... ngoja na
mimi niende bana"
wakakimbilia katika
nyumba walio elekezwa na
yule kichaa.
kichaa akakaa na kufikiria
"Mmmh mbona wote
wamekimbilia
huko!!? inawezekana ni kweli
wanapika pilau... ngoja na
mimi niende bana"

No comments:
Post a Comment