Thursday, December 11, 2014

INASIKITISHA ILA INAFUNDISHA PIA KIBAKA WA KIKE ATIWA KIBILITI MCHANA PEUPE NA WATU WENYE HASIRA KALI


Wakati hali inazidi kuwa mbaya kiuchumi watu wakiwaza watapata wapi pesa masikini kibaka huyu ambaye ni mdada alipo kulupukia mali ya watu na kunaswa na wanainchi walijichokea pasipo na huruma wala kujali kuwa uyu ni mdada walimtia kibiliti live uku anaona. inasikitisha kwani tumezoea kuona vibaka wa kiume mara nyingi ila wanawake nao wamosiku izi. 

No comments:

Post a Comment

PESA YAIMBA WIMBO