
hiii ni habari ya kweli ambayo chazo chake kinaeleza kuwa mtoto aliye mezwa alikuwa ni mtoto wa pekee wa mama mmoja nchini nageria na wakati tukio hilo linatokea inadaiwa mtoto huyo mwenye umri wa miaka 8 alibaki shuleni peke yake akiwa anajisomea kwani ilikuwa ni kawaida yake kupitia alivyo fundishwa ila masikini wa mungu akujua kuwa yange mkuta mabaya. majilani wa mtoto huyu walidai chatu huyo alitumwa na rafiki kipenzi na mama wa mtoto huyo kwani alionyesha wazi tangu muda mlefu kuwa ni mtu mwenye wivu kwani yeye amekaa zaidi ya miaka kumi na mitano ajapata mtoto ndipo wivu ukampata na kwenda kwa mganga na kumfanyia mwenzake ubaya huu. inasikitisha sana ila kila mtenda mabaya atalipwa mabaya hayo hayo .
No comments:
Post a Comment